Hii imekaaje?

Edmund

Senior Member
Jul 17, 2009
123
62
Una kidemu chako kitaa, ambacho umedumu nacho kwa miaka kama miwili hivi ghafla siku moja unakutana na Bro wake mara anakuambia kaka nashukuru kwa kuwa unammega Dadaangu, hongera kaka kwa hilo. Ila tu naomba umlinde, kama ni wewe utajisikiaje?
 
Utajiskia raha kakutambulisha kwa kaka yake...na kaka yake kakukubali!
 
bado neno la kumega sijalifaham vizuri sijui ni hivi ninavyohisi mimi ama laa!!n aomba mnifunulie japo kidogo hili neno maana yake ni ipi?
 
bado neno la kumega sijalifaham vizuri sijui ni hivi ninavyohisi mimi ama laa!!n aomba mnifunulie japo kidogo hili neno maana yake ni ipi?

Tuwasiliane ili nikupe practical experience, sawa eeeh. Yaani nikumege:A S-alert1:
 
kujibu si kawaida yangu habibty ilikuwa nikiasi kutaka kufahamu tuu allah akulipe kwa jibu lako zuri inshallah,,,,,ndio nyote ninyi mmmxxxysss...
Tuwasiliane ili nikupe practical experience, sawa eeeh. Yaani nikumege:A S-alert1:
 
huyo bro kakukubali na kakushobokea.hapo kitakachofata ni atakua anakupiga virungu vya kumtoa akikwama.cha kufanya ni kupoteza tu.endelea na hicho king'amuzi lakini kaka mpotezee tu kama mwanzo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom