Hii imekaaje?

Pamoja nakutokua na maelezo marefu wandugu swali linabaki pale pale ...hii imekaa vipi? Coz mi nimeona mkuu hapa kachemka ndio maana wanasemaje "mwanaume si maumbile tu bali mwanaume wake msimamo" na ni kitambo sasa hatua atayochukua mkewe huku nyuma atamlaumu nani?
Maelezo yako yanaonesha umechukua nafasi yake au unaimezea mate, mambo ya kuta nne huwezi juwa labda bibie kaleta umeme ndani jamaa ameenda kutuliza akili,usiingie kichwa kichwa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom