Hii imekaaje?

caven dish

Senior Member
Sep 12, 2011
124
86
Wanajamii katika maisha ya ndoa binadamu tunakutana na mengi. Ni hili lililotokea karibuni ndio limenishangaza zaidi mwenzenu! Jamaa amemuacha mke na watoto wake na kutimkia kwa mama yake! Hii wenzangu mnaionaje?
 
Ni ngumu kusema chochote kwani hujatuambia sababu iliyotolewa...kwa maelezo yako waonesha kama jamaa ana makosa ila hujajua kilichomtimua.
 
hujatueleza sababu lakini kuna kina mama wengine na watoto wao wa kiume mmmmmhhhhhh
 
mtoto kwa mama hakui .... haya kamkimbia mke nini tatizo???????????
 
Umeizungumzia kama observer... Sidhani kama jammaaa ni mjinga kiasi hicho... Hivo hapa the story is still missing na hii ulotoa ni headline tu!
 
Tunashindwa tujadili nini??? Jamaa katimkia kwa mama yake
Kumtembelea??? Kufanyaje?? Hata sababu za yeye kutimka hatujazijua,
Kaa chini utubainishie vizuri.
 
ndoa si mchezo.yaani kuoa inabidi uwe una kichwa kigumu.bora huyo kakimbilia kwa mama,wengine wanajinyonga au kunywa sumu bila kuacha ujumbe.ndoa ni noumer.mia
 
Wanajamii katika maisha ya ndoa binadamu tunakutana na mengi. Ni hili lililotokea karibuni ndio limenishangaza zaidi mwenzenu! Jamaa amemuacha mke na watoto wake na kutimkia kwa mama yake! Hii wenzangu mnaionaje?

HUU MIMI NAUITA NI Use..E
 
pamoja na story kutokamilika dume zima uache familia ukimbilie kwa mama

hapo anamaanisha jamaa karudi kwa wazazi ila inaonyesha ana mzazi mmoja ambaye ni mama ndo maana ametajwa
 
Pamoja nakutokua na maelezo marefu wandugu swali linabaki pale pale ...hii imekaa vipi? Coz mi nimeona mkuu hapa kachemka ndio maana wanasemaje "mwanaume si maumbile tu bali mwanaume wake msimamo" na ni kitambo sasa hatua atayochukua mkewe huku nyuma atamlaumu nani?
 
hapo nilipobold hapo panahusika jamani mwanaume wa kweli huwa anasimamia jambo na watu wanamsikiliza ....................nikuulize swali alipokimbilia kwa mama alimwambia nini mkewe au wale wanaomzunguka maana isije ikawa ni wale wanaume suruali hawakui kila siku wanataka kulelewa tu.

Pamoja nakutokua na maelezo marefu wandugu swali linabaki pale pale ...hii imekaa vipi? Coz mi nimeona mkuu hapa kachemka ndio maana wanasemaje "mwanaume si maumbile tu bali mwanaume wake msimamo" na ni kitambo sasa hatua atayochukua mkewe huku nyuma atamlaumu nani?
 
Sasa sıjuı sababu itakuwa ni ipı ılıyomfanya akimbıe famılıa
 
Wanajamii katika maisha ya ndoa binadamu tunakutana na mengi. Ni hili lililotokea karibuni ndio limenishangaza zaidi mwenzenu! Jamaa amemuacha mke na watoto wake na kutimkia kwa mama yake! Hii wenzangu mnaionaje?
Acha UMBEA.
 
Mr. ChweChwe umenifanya nikautafute umbea sasa! Asante kwa hilo nimepata mkasa mzima. Siku ya tukio jamaa alitofautiana maneno na mkewe, ndipo akakasirika na kutimkia kwa mamake na mpaka leo hajarudi na miezi kadhaa sasa imeshapita baba nanihii bado anabemendeka kwa mamake na wala hatunzi familia yake.
 
huyo lazima ni gumegume ............

mamawatoto ameshapata wa kumtunza?
 
Back
Top Bottom