Hii imekaaje! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Shauri, Jan 21, 2011.

 1. S

  Shauri JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  HI JF
  NI KWELI WANAUME WALIO WENGI HAWAJUI KUTONGOZA?:plane:
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  kuna post umu inaomba ushaur amtokee vp demu.
   
 3. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  ????????????? Labda wanawake ndio wenye majibu ......! Lakini mbona wanawake wanavunjwa ungo mapema, na hata wakitokewa waliokomaa hawachomoi? Au wote wanabakwa?
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,494
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  mitopiki ya siku hizi aaaagh:frusty::frusty::frusty:
   
 5. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  How old are u?
   
 6. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umeamkia wapi? swali lako full ujinga
   
 7. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kama ni kweli, ndoa zisingekuwepo!!!!
   
 8. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nadhani akiona hiyo post atapata jibu. Lakini vijana wa siku hizi sijui vipi..... kuna postnyingine humu mama mwanye nyumba analalamika kijana wa kiume alipopanga alikuwa kawaida siku hizi amelegeza sauti na mavazi niya kubana achilia mbali poda na lip stick, badilikeni sio mpaka wazee tuseme.. sisi enzi zetu baba anakuta tu mjukuu ashaletwa nyumbani wakati wewe uko boarding school :frusty:!!!!!
   
Loading...