Hii imekaaje wanawake wenzangu? Eti the early you accept polygam is better!

Swahiba swahiba kule kwenye siasa tumeelewa sasa naona umeamunaoa kuja kuniumiza moyo huku

Mimi nakataa sababu sijaona wala kusikia..... wacha tu niwe kama FayVanny
Ukweli ni mchungu zaid ya quinin

Tuhamie stories of change tutafte pesa
 
Ngoja nikupe faida bibie. Hapa nakupa mosingi mengine utayapata kutokea hapa.

Kuna huduma na kuna mapenzi.Hakuna sawa sawa bali kuna haki na stahiki,yaani kila mmoja apate stahiki yake. Mfano siwezi kupeleka kilo tatu za mchele kwa mke mwenye watoto wa 4 na nikapeleka kilo tatu za mchele kwa mke mwenye mtoto 2. Huu si usawa bali ndulma. Yaani kila mmoja apatiwe anacho stahili.

Ama kuhusu mapenzi aisee sikufichi huwezi kuwapenda wake zako wote upendo wa sawa,ila upendeleo ndiyo haifai. Mapenzi huchochewa na yule anayepndwa.
Hapa sasa😆🙌
 
Nimeona kama mke mkubwa kuchokwa ndio maana ya mke mdogo kutafutwa🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hii si kweli. Haya ni mawazo yenu anayo ongozwa na uoga.

Huwa tunaoa wake wengine kwa sababu nyingi. Wengine huwa tunaamini ya kuwa "Wakwanza wa kwanza tu". Weka akilini hili. Tunawapenda sana wake wakubwa sababu wao wameanza.

Wengine tunaoa wake wengine kwa ili kuwasitiri wenzenu. Sababu kiidadi mko wengi mno.
 
Unafikiri shida ni uhalisia sana! Shida ni wivuuuu
Sijui unatokaga wapi
Nadhani ni kwa sababu ya mazingira ya sasa polygamism inaonekata kitu cha ajabu kwa walio wengi, kupelekea jambo hilo kutoazoeleka.

Zamani mabibi zetu waliolewa ndoa za namna hiyo na hakukuwa na wivu wala nini.
 
Dini ya kiislamu imeruhusu wake wengi ila kwa vigezo viwili mwanaume awe na uwezo wa mali na hata kimwili kuwatosheleza wake zake nje ya hapo hamna kazi.

Mwanaume unaona wewe mke mmoja na nanga inapaa goli moja chali akiwa na wannne si atakufa kabisa.

Kwenye kipato ndio majanga kabisa.

Siwezi kukubali mme wangu kapuku aniongezee mke.
 
Hii si kweli. Haya ni mawazo yenu anayo ongozwa na uoga.

Huwa tunaoa wake wengine kwa sababu nyingi. Wengine huwa tunaamini ya kuwa "Wakwanza wa kwanza tu". Weka akilini hili. Tunawapenda sana wake wakubwa sababu wao wameanza.

Wengine tunaoa wake wengine kwa ili kuwasitiri wenzenu. Sababu kiidadi mko wengi mno.

"Kusitiri!"

Kusitiri kwa maana ipi haswa?

Uwezo upo?
 
Nadhani ni kwa sababu ya mazingira ya sasa polygamism inaonekata kitu cha ajabu kwa walio wengi, kupelekea jambo hilo kutoazoeleka.

Zamani mabibi zetu waliolewa ndoa za namna hiyo na hakukuwa na wivu wala nini.

Zamani wenye mali nyingi ndio walikua na wake wengi

Mwanaume anakua na mashamba na mifugo maeneo tofauti kwa hiyo anakua na uhitaji wa kuwa na miji huko azae na watoto kwaajili ya kuendeleza uzalishaji

Sasa hivi ni ni kama tamaa tuu, hana alichowekeza, hazalishi mali, hata nyumba moja mtu hana anataka kuongeza.....
 
Dini ya kiislamu imeruhusu wake wengi ila kwa vigezo viwili mwanaume awe na uwezo wa mali na hata kimwili kuwatosheleza wake zake nje ya hapo hamna kazi.

Mwanaume unaona wewe mke mmoja na nanga inapaa goli moja chali akiwa na wannne si atakufa kabisa.

Kwenye kipato ndio majanga kabisa.

Siwezi kukubali mme wangu kapuku aniongezee mke.

Hapa ndio shida inapoanzia
Mimi mwenyewe hujanitosheleza halafu unaenda tafuta jukumu jipya... huko ndio kuchanganyikiwa
 
Mbona tulishakubaliana huyu apewe ulinzia na kujengewa sanamu yake ya dhahabu pale Mlimani City. NaulIza jamaa zangu hili zoezi limekamilika ama la!
 
Back
Top Bottom