Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
ni ndoa ya kiislamu?Mke wangu ameniruhusu kuoa wanawake wasizidi 2 kwa sharti la yeye awe na watoto 4.
Sasa jinsi alivyo mwema sidhani kama nitaoa mwingine anavyonipa ni raha sana
ni ndoa ya kiislamu?Mke wangu ameniruhusu kuoa wanawake wasizidi 2 kwa sharti la yeye awe na watoto 4.
Sasa jinsi alivyo mwema sidhani kama nitaoa mwingine anavyonipa ni raha sana
kwako dr.mwaka tupe uzoefuWanaume wote wanaweza kumudu kutoa mapenzi na kuhudumia kwa 100% hata waoe ndoa zaidi ya moja?
Wasiwasi ndio uko hapo. Mke mmoja tuu nanga inapaa wawili itakuaje
Kwanza nitake radhi kwa kunipa jina lisilokua langu. Mimi sio dr. mwakakwako dr.mwaka tupe uzoefu
ndio.ni ndoa ya kiislamu?