kilambalambila
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 9,290
- 8,611
Musiba tena
Bi Kidude hata kama hakuwa Mnyambo, aliwahi kusema "Kunambia siri kisha ukasema nisimwambie mtu, mie siwezi kwa sababu hata wewe umeshindwa kutunza ukaniambia mimi".Yani Kunguni ataombewa..
Seriously??View attachment 1157419
Aache uongoAnaombewa pesa ama?
OpportunistHuyu mchungaji hapitwagi na jambo
Yeye huenda na zinazo trend
Kama ni simba, amber rutty, taifa stars naye anajichomekaga humo humor
Anyways 2020 twende na msiba
Hapa utekeji na manyanyaso tu
Watu wanautani na Mungu eti Mchungaji wa mitume na manabiii.............Yani Kunguni ataombewa..
Seriously??View attachment 1157419