Hii imekaaje? URUSI kutuma waangalizi wa Uchaguzi USA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii imekaaje? URUSI kutuma waangalizi wa Uchaguzi USA

Discussion in 'International Forum' started by CHASHA FARMING, Oct 26, 2012.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Russian diplomats will monitor the US presidential elections, Russian foreign ministry spokesman Alexander Lukashevich said on Friday.
  “On November 6 we intend to send diplomats from the Russian Embassy in Washington and employees of consulates general in New York, San Francisco, Seattle and Houston to monitor the polls. They will be joined by a Russian Public Chamber delegation led by [Konstantin] Dolgov, the Foreign Ministry's Commissioner for Human Rights, Democracy and the Rule of Law,” Lukashevich said.
  He said that a dozen Russian lawmakers will be included in a 100-strong group of observers from the Parliamentary Assembly of the Organization for Security and Cooperation in Europe (OSCE).
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Urusi na Marekani za leo ni dam dam, si kama enzi zile za vita baridi. Walishakaa chini na kukubaliana utaratibu wa kuifaidi dunia bila kutoana ngeu, ingawa bado kuna vijimambo vya hapa na pale.
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Sijawahi kusikia eti waangalizi wa uchaguzi kwenda u.s.a!? Kwanza kufanya nin, marekani ndio the top democratic nation in the world, and moreover, america is the richest most powerful country in the world with high intellectual rate citizens, they monitor themselves.
   
 4. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kuna mengi zaidi ya hayo, angalia hii hapa chini jinsi RT (Russian Television) inavyowa-support other forgotten USA presidential candidates. Watu wengi wanadhani wagombea urais wa Marekani ni Obama na Romnesia pekee...Endelea..

  Source:
  RT to host final US presidential third-party debate — RT
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: warusi washenzi maana wanaona wamarekani wao kila uchaguzi hapa duniani wanatuma watu wao kusimamia lakini uchaguzi wao wanajisimamia wenyewe kwa hiyo warusi wameona na wao wakasimamie uchaguzi wa marekani :happy: nimeipenda hii safi sana
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  sasa hivi wanatula taratibu bila vurugu
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,798
  Trophy Points: 280
  ha ha a Putin ana mambo ya ajabu sana ..but he know what is doing
   
 8. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Obama anapingana na sera za urusi kuhusu mashariki ya kati huku Romney akisapot sera za urusi pamoja na israel kuhusu mipaka iyopo kati ya urusi na palestina Kwa hiyo si ajabu kuona kitu kama hicho kutoka urusi kwani wanasapoti sera zao kupitia Romney.
   
Loading...