johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,840
- 141,763
Hili jambo huwa linanishangaza kidogo, wakati Rais Maguguli na waziri Jaffo wakihimiza uhamasishaji wa ujenzi wa viwanda Wakuu wa wilaya wako busy kukabidhi zawadi za kamari na kuwatia moyo vijana kuishi maisha ya kubahatisha. Wakuu hii imekaaje.......hasa wale watani zangu wa Ufipa maana nawaona wanashinda sana akina bwashee kwenye hii michezo.