Hii imekaaje??nataka kujua

Nytemare

Member
Sep 12, 2011
31
6
Hivi kanisa la roman catoric linaruhusu ulevi?maana ni zaid ya mara nne nashuudia masista na mapadre wanakuja na gari la kanisa ofisin kwangu nnako uza vinywaji kwa jumla jumla kununua kreti kadhaa za bia..Hii imekaje? Naombeni kujuzwa
 
Ukitaka kujua ujanja wa padri muulize sista, na utundu wa sista muulize padri.
 
Kwani bia zote zinazotengenezwa na tbl wanakunywa dini/dhehebu gani? Nenda baa kawaulize wanywa pombe kama dini/dhehebu zao zinaruhusu kunywa pombe kisha wauliza kama hairuhusu kwa nini wanakunywa.
 
Wewe si ndio unayeuza?mbona unachagua wateja?huoni unaenda kinyume na kanuni za kibiashara unatoa siri za wateja zako?
 
Hebu tuambie nini maana ya ulivi ? Ukisha tambua hilo ndipo utaelewa kwanini mapadre na masista hata waumini wakatoliki wanakunywa pombe.
 
Hivi kanisa la roman catoric linaruhusu ulevi?maana ni zaid ya mara nne nashuudia masista na mapadre wanakuja na gari la kanisa ofisin kwangu nnako uza vinywaji kwa jumla jumla kununua kreti kadhaa za bia..Hii imekaje? Naombeni kujuzwa

Jukwaa hili ni la JAMII PHOTO tuwekee picha ya hao wanaokuja kununua hivyo vinywaji acha maswali!!!
 
Hivi kanisa la roman catoric linaruhusu ulevi?maana ni zaid ya mara nne nashuudia masista na mapadre wanakuja na gari la kanisa ofisin kwangu nnako uza vinywaji kwa jumla jumla kununua kreti kadhaa za bia..Hii imekaje? Naombeni kujuzwa
Mimi ni RC na huwa ninajaribu kuishi kwa kadri ya maelekezo ya mwenyezi Mungu. Katika amri kumi alizopewa Musa ili ziwafikie wanadamu, hakuna amri hata moja inayozuia binadam asinywe pombe au asile noah (Kitimoto). Mambo ya kutokunywa yamezungumziwa na watu wengine kwa hisia na mitizamo yao. Cheeeeeeeeerz
 
Hivi kanisa la roman catoric linaruhusu ulevi?maana ni zaid ya mara nne nashuudia masista na mapadre wanakuja na gari la kanisa ofisin kwangu nnako uza vinywaji kwa jumla jumla kununua kreti kadhaa za bia..Hii imekaje? Naombeni kujuzwa

ndo nini hiyo red?
rudi darasani achana na biashara!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom