Hii imekaaje Naomba ushauri...

Kwa hiyo mwaka mzima unalima zao mona tu? Mhhhh mkuu wewe kutoboa utapasikia mbinguni.
Mkulima mzuri yule wa kisasa anakuwa busy na anaratiba ya mazai ya mwaka mzima.
Mfano November upo iddle kwa maparachichi lakini huku unaanda shamba za zao lingine.
Ukiwa iddle sana kazi zimepungua unafungua hata vidarasa uchwara vya kilimo unapata 50,000 kwa kichwa.
Lakini nachojua kikubwa sana ukishasimama kwenye kilimo unasimamisha biashara ingine(side business inakupa back up) ila wewe umerelax sana.
Nauhakika huu uzi una mengine lakini si lengo hili.
Kama unalima pambana basi uwafikie wakina Sumri.
Okey.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
kweli maisha ni game. hata stress za
uchumi mbaya hazimsumbui, wakti mi nalia hata niotee kubarua Cha serikali, kuna mwingine ameacha. boss nipe kibarua kwenye shamba lako, au kama una biashara yako kwenye sells.
Upo vizuri kwenye upande huo wa sales.?
Kama ndio tuwasiliane pm
 
Hongera Sana mkuu,, mawaziri yako mazuri Sana,,, ila kuwa na subira,, wapo wengi Sana watumishi wa una wanatamani kuacha kazi Kama wewe ila wameshindwa kwa sababu ya uoga,,, umekuwa role model wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom