Hii imekaaje? Mtoto wa Kigogo na Kilimo kwanza

Huyo dogo rizmoko tuna hasira nae sana haiwezekani ndani ya mwaka m1 tu kumaliza chuo awe billionea,kila mkoa tanzania kawekeza si kitoto,leo kuna jamaa katoa ushuuda kwamba ana kampuni hadi rwanda za kuuza na kusafirisha mafuta,hekari 290 mkulanga(mtu yeyote atakayebisha nampeleka hadi kwenye hilo shamba)!!
 
Yaani wakuu inabidi tuchangie sana kuhusu hii katiba mpya maana kama sivyo tutaendelea kutawaliwa na monarch system for good!
I hate Tanzanian Government and its leaders, i like its loyal suffuring citizens.
 
Huyo dogo amenunua kiwanja ufukweni mwa ziwa Victoria kijijini kwetu Bukanga anapiga 5 star hotel hapa Musoma, ni mzee wa dili mwanzo mwisho....... I think this is typical Msoga Greedy........ Mijitu inajilimbikizia mali utadhani sijui nini....... Shame on them!!!!!!!
 
Back
Top Bottom