Hii imekaaje: Mashabiki wa Township Rollers wawaita Yanga Simba's Wife (Mke wa Simba)

we parapacha unafkiri ukiandka kingereza ndo utantisha..? hiyo lugha ata vichaa wengi wa dar wanaijua...umekaa zako kwenye kiti mvivu unajifanya kujua intelijensia..ebu kachezee tope uko..

Aisee kumbe kweli najadiliana na mtu asiyejua mambo...Kiingereza gani nimeandika hapo?? mjadala gani unauleta hapa? Yaani unaweza ukamuonesha mtu makini andiko langu hilo na kumweleza kuwa 'umetishiwa' kiingereza?!! dah..aisee...ni kweli tuna vijana wasiojua kitu, wamebaki kushabikia tu...hawajui kabisa..
 
sawa babu..
 
Mbona instagram page ya yanga imeandikwa yangasc?
So jina la Yanga linajulikana
Hakuna kitu kamma hicho...huyo ni shabiki wa Simba...tangu lini hao wakaandika Yanga SC?? Wao wanajua kuna Young Africans...
 
Hhahaa ukaona umuite babu
we babu hujui mpiraa ama..??hapo wanatafuta sapoti ya mashabiki wa simba
Hahaha mzee wa miaka ya 1954 bado unakomaa
Siyo tu kwamba wewe ndiye ambaye huyajui masuala ya soka bali hata masuala ya kijamii, intelijenjia, jinai, propaganda na misinformation huyajui kabisa...hujui chochote kabisa...
Hahahahaha jamaa umepiga vyombo nini??
we parapacha unafkiri ukiandka kingereza ndo utantisha..? hiyo lugha ata vichaa wengi wa dar wanaijua...umekaa zako kwenye kiti mvivu unajifanya kujua intelijensia..ebu kachezee tope uko..
Hahah babu bado una mkazia show mjukuu
Aisee kumbe kweli najadiliana na mtu asiyejua mambo...Kiingereza gani nimeandika hapo?? mjadala gani unauleta hapa? Yaani unaweza ukamuonesha mtu makini andiko langu hilo na kumweleza kuwa 'umetishiwa' kiingereza?!! dah..aisee...ni kweli tuna vijana wasiojua kitu, wamebaki kushabikia tu...hawajui kabisa..
Hahahah jamaaa ume surrender
sawa babu..
 
Hhahaa ukaona umuite babuHahaha mzee wa miaka ya 1954 bado unakomaaHahahahaha jamaa umepiga vyombo nini??Hahah babu bado una mkazia show mjukuuHahahah jamaaa ume surrender
babu mtata balaa..shabiki wa yanga uyo ana moto hatari...kesho sasa ndo kuna kukata mzizi wa fitina
 
View attachment 1176673

Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers
Ni kweli Sisi wananchi ni mke halali wa Simba au kuna MTU anabisha??

Si unaona ametusaidia kutupeleka ligi ya mabingwa??

Japo leo tunafungwa na kutolewa Leo Leo!

Tumenusapo nasieee ligi mabingwa asante Baba Simba SC
 
huwezi ukajiita OKWI halafu BOBAN hapo hapo ukajiita tena SUNZU! huwezi!

huyu ni muuza pafyumu za kuulia kunguni,chawa "ANAKUJA MANARA"
 
Muanzisha uzi huyo ndio kafanya tuwashushie lawama.

Nishauzowea huu upande Swahiba.
Hahahaha neno "mke" linaonekana dhaifu sana, angeandika "mume" wala kusingekua na majambo.

Ila usijali mtani, sisi tuna roho safi sana tutawabeba kama tunavyowabebaga siku zote.
 
Back
Top Bottom