Hii imekaaje Kisaikolojia? Mwanamke mweusi hanivutii. Je, nina tatizo?

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Kiukweli mimi nina tatizo moja, nikiona mwanamke mweusi yaani hanivutii kabisa sijui namuonaje.

Lakini sasa natokea kuwapenda sana mabinti weupe kiukweli vyeupe vimenifilisi sana, je nitakua na tatizo? Kwanini sijawahi kuvutiwa na mwanamke mweusi?

Au nitakua na tatizo la kisaikolojia nakua napenda tu kuwa na mahusiano na wanawake weupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom