Hii imekaaje? Clouds Radio na EFM kuendesha kamari katika vipindi vyao?

Hicho ndo kinanifanya nisiweze kusikiliza hivyo vituo Coz sipendi kamari za namna hiyo ambazo sijui zinavyochezeshwa kupata mshindi
Toa sababu nyingine, hizo kamali hata miezi mitano haijafika so haiwezi kuwa sababj ya wewe kutozisikiliza.
 
Hizo kamari wachezeshe tu, hakuna wanachopunguza. Ila kwa vipindi vya michezo, EFM kwa siku hizi ni takataka, umejaa umbea tu makele na habari zao binafsi. Clouds wana dosari zao, ila za kawaida tu. Na nisiposikiliza nahisi kabisa kuna kitu nimekosa.
 
Back
Top Bottom