Hii imekaa vipi BONGO??????

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,624
Wadau kuna hili swala la kualika wasanii kutoka overseas kuja ku perform kwenye show za hapa bongo na wanachota mapesa kibao lakini hata kama wakifunikwa na wasanii wa bongo bado mbongo atalipwa kidogo tu akagange njaa. Mbona wenzetu wa Nigeria sijawahi kusikia wanaalika wasanii kutoka nje kwenye shoo zao why bongo tu. Wanachota pesa kibao na kuliko wabongo wakati wabongo sometimes wanafunika. Au hatuthamini mziki wetu? Na je tunaujenga au ndo vile tunawatangazi wa kwao? Nawasilisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom