Hii ilikuwa ni Timu ya Soka ya Taifa(TAIFA STARS) ya mwaka gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ilikuwa ni Timu ya Soka ya Taifa(TAIFA STARS) ya mwaka gani?

Discussion in 'Sports' started by Mtumpole, Jun 1, 2012.

 1. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Ebu sikilizeni iki kibao pamoja na kuwa na mapungufu ya idadi ya wachezaji waliocheza kutokana na mtangazaji(mwimbaji) akiwataja ni 16.

  Huu wimbo uliimbwa kwa ajili ya kuwaomba wachezaji wa Timu ya Soka ya Taifa wasijiuzulu warudi kwenye timu ya Taifa (Taifa Stars).
  Hii ilikuwa ni timu ya Soka ya Taifa ya mwaka gani na ni nini kilichosababisha wachezaji waliotajwa kwenye huu wimbo kujiuzulu kuichezea Timu ya Soka ya Taifa?


  Wachezaji waliokuwa kwenye hiyo timu ni
  01. Iddi Pazi
  02. Kiwelo Mussa
  03. Said George
  04. Athumani Maulid
  05. Athumani Chama
  06. Ahmed Amasha
  07. Ramadhani Lenny
  08. Mohamed Adolf
  09. Octavian Mrope
  10. Makumbi Juma
  11. Peter Tino
  12. Charles Borniface
  13. Lila Shomari
  14. Hillal Hemed
  15. Selestine Mbunga na
  16. Zamoyoni Mogela

  Makocha inaonekana walikuwa ni
  01. Abdul Wakati Juma na
  02. Joel Bendera
   

  Attached Files:

 2. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,002
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  Duh! Kikosi hatari hicho. Hapo hatumwi mtoto in fact ni kama " barcelona" ya sasa hvi vile


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,972
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Mwanzoni mwa miaka ya 80.
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Performance yake ilikuwaje kimataifa?
   
 5. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Unafikiri walikuwa wanauza chai kama wachezaji wenu wa enzi za hawa kina Paulsen wenu(Jan na Kim)...jamaa walikuwa wanapiga kazi tena kipindi hicho mpira haukuwa na fedha kama kipindi hiki,kipindi hicho morale ilikuwa inatengenezwa na uzalendo halisi,siyo kipindi hicho hela za kumwaga hlf bado wachezaji wanarukaruka tu uwanjani...watu wana budget ya 23 billion kutoka kwa wafadhili halafu leo wanabebeshwa kapu la magoli kule abidjan,is this fair kwakweli si ufujaji wa hela tu.
  Kwa kujibu tu swali lako....ninapoliona jina la Peter Augustino au Peter Tino kama alivyokuwa amezoeleka na wapenda soka wa Tanzania basi najua 1 kwa 1 kuwa team ya kipindi hiki ndo ilitupatia ile nafasi 1,(only once) ya kwenda kushiriki kwenye kombe la mataifa ya africa,kwasababu nakumbuka Peter Tino ndo alikuwa mfungaji wa lile goli.
   
 6. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,002
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe 100%


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 7. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,495
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Mkuu ile na Tenga alikuwepo, na jamaa mmoja wa simba Thuen Ally alikuwa balaa!
   
Loading...