Hii iliandikwa jamaa akiwa kwenye kifafa cha Shaytwan, alipokuwa karogwa, au wakati kapoteza fahamu, au ni nini jamani? Hebu tuwasaidie ndugu zetu

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,496
2,000
Matusi hayatakiwi. Naomba ukielewa toa mtazamo wako kwa hoja kama jamaa huyuJihad, alivyoelewa na kubaki anashangaa!.

NIkweli wafuasi wa huyu, bwana walikuwa hawahoji mambo katika mambo haya, kwa kuwa hawakuwa na ufahamu? waliogopa kuuawa, waliona yanawarahisishia maisha, walijua agenda za kisiasa na kibiashara nyuma ya hili saga au hata si kweli kama hawa watu walikuwepo kwa kuwa habari za maruwe ruwe haya, kiliandikwa miaka 200 baada ya kifo cha huyu jamaa?Toa mawazo na uelewa wako kulingana na mjadala unaoendelea kwenye hii clip, usinilenge mimi. Nimebeba kama ilivyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom