Kwa kua SUA yanatokea, unahalalisha yatokee sehemu yeyote ile?
Mbona SUA ni kawaida tu hayo
Mbona SUA ni kawaida tu hayo
Hapana... Ila ni regulations zilishaekwa... Ukifail mtihani for 3rd attempts una-retake somo husika unarudi semister husika kulisoma upya... That isKwa kua SUA yanatokea, unahalalisha yatokee sehemu yeyote ile?
Ndo shida ya bongoAisee huyo daudi anaroho mbaya sana sijawah ona maisha yangu, halaf anatabia yakukata marks hasa wasiohudhuria vipindi vyake ukishajua wew nimtoro hata ufaulu sup inakuhusu
Ww rudia mwaka bhana mana mmezidi kufanya starehe uko chuo badala ya kusoma....Hivi unatumia ubongo mada inahusu ugumu wa chuo hii kwani ??
Wanapenda fanya uzinzi na starehe tuu darasani awasomi...pepa zikija wanaferi afu wanalia.Umeongea point ila mifano ya vyuo vyao ni takataka hizo.vyuo vyote vya mapopoma hivyo mkuu
Sawa lkn pepa zao zikoje mzee ushawi ona wanafunzi wa ARU ameferi akawa analalamika mtandaoni wanapiga kimya mana wanajua mziki wa pale.ila ARU kuna sehemu wanalegezewa kama sheria ya course work haifanyi kazi.... pale ARU hata mtu akiwa na course work ya 12 anaingia kupiga paper la mwisho ...hawana technical sup pale...
Acha warudie ww unaumia nini dogo mbn unaumia sana rudia bac na ww.Ni bachelor mwaka 2 kwenda mwaka 3 ndo wamefanyiwa hvo
Nasomesha mdogo wang apo na nalipa ada na hana ata 0% ya mkopoAcha warudie ww unaumia nini dogo mbn unaumia sana rudia bac na ww.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Bila shaka utakuwemo.Ni hv wandugu wanafunzi walifanya UE mwezi 9 kwenda mwaka 3 lakini kama wanafunzi 180 walipata suprimementary katika somo la IT wakafanya tena mtihan wa hlo somo ili wasapue but wanafunzi wote wakafeli tena kwa kupata f.Wakarud nyumban sabab ilikua ni likizo lakini baada ya hayo matokeo ambalo somo hilo anafundisha mwalimu Daudi,idara ya logistic ikahoji iweje wanafunzi wote wafeli tena kwa kupata f?.Uongozi ukabadilisha mwalimu wa somo na mwalimu Daudi akaondolewa.Mwalimu aliteuliwa akatangaza wanafunzi warudi chuoni atawafundisha kwa siku 10 na atawapa mtihan mwingine.So wanafunzi wakarudi chuon toka likizo wengine waliwahi kurudi na wengine walichelewa,siku ya mtihan ikafika na wanafunzi wakafka kwenye chumba cha mtihan mara wakaambiwa waliochelewa kufika hawatafanya mtihan kwa hyo watoke nje na wakafanya hivyo.lakini badae wakataka kujua hatma yao mana hawakuchelewa kwa makusudi Kwan ilikua ni likizo na walikua nyumban.Sasa cha ajabu wameambiwa wanarudia mwaka wa pili kwa kufeli somo moja tu tena watasoma semester ya pili.Kawaida vyuo vyote ukifeli somo moja unaenda mwaka 2 au 3 lakini unabeba/soma lile somo ulilofeli mwaka uliopita.Wizara ya Elimu hebu kitazameni hiki chuo cha jicho LA tatu mana kuna Madudu mengi saana pale NIT wakufunzi ni kama miungu watu. Na hawa wanafunzi 180 wanarudia mwaka kwa kufeli somo moja tu tunaomba wizara husika mkitazame iki chuo
kwaiyo mdogo wako ndo kaferi au...???bac nenda chuoni ukalalamike upate aki yako kama mlezi...unaesomesha mdogo wako......nikupe namba ya Chief (CEO)wa pale umpigieNasomesha mdogo wang apo na nalipa ada na hana ata 0% ya mkopo