Hii hutokea africa pekee yake!!!!!!

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
3,262
3,392
Ni majanga kuwa mwizi wa kuku africa kuliko kuwa mwizi wa mali ya umma.
FB_IMG_1543634175054.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_1543634175054.jpg
    FB_IMG_1543634175054.jpg
    21.8 KB · Views: 30
  • FB_IMG_1543634175054.jpg
    FB_IMG_1543634175054.jpg
    21.8 KB · Views: 31
  • FB_IMG_1543634175054.jpg
    FB_IMG_1543634175054.jpg
    21.8 KB · Views: 31
Huyu hajaibia umma kaibia mwenye mali lazima ale kibano. Ila angeiba kuku wa umma hakuna ambaye angemkomalia. Mali ya wote si ya yeyote
Kwa hyo fisadi chenge alivyopiga hela za dowans ni sawa tu7?
 
Back
Top Bottom