Hii huruma ya ghafla kwa rais wetu imetoka wapi?

Awali hakuwa anaiogopa 2020 kwani alikuwa na uhakika CCM watampitisha na uchaguzi mkuu atatumia Polisi na NEC ya ma DED kulazimisha ushindi.
Sasa huko CCM moto, Membe anakuja kininja tena akiwa na support kubwa kutoka kwa wakongwe wa chama ambao "wakuja" Bashiru kawamwagia "petrol" ya matusi na kuchomoa wire wa betri.
Huku nje nako NEC nayo sio ya kutegemea sana maana hili suala la kuwaondoa maDED kusimamia litafanya uchaguzi kuwa mgumu na wizi utumie nguvu zaidi ili hali macho ya wababe ulimwenguni yana mwangalia kwa makini.
Lazima abadilike tuu, tusishangae siku akitamka shikamoo jukwaani.
Chakaza nimecheka sana leo. Ninasikia kule shingoni kwenye mirija ya kupitisha damu kwenda kichwani watu wako tayari na visu vilivyonolewa.
 
NA SISI WANANCHI TUNAMCHORA TU, MAANA TUNAJUA HAJAWAHI KUWA NA UTU WALA HURUMA HATA KIDOGO.

TUNAMSUBIRI KUMNYOOOSHA VIZURI KAMA RULA 2020.
 
Human beings are not static , they are dynamic, hence they change with time, Rais Magufuli naye ni human being anachange with time

P
Ameogopa sio kwamba ame change..... "human being have blood they fear changes" hence he has feared to be thrown out from presidency come 2020
 
Ni sawa na kuhoji wingi wa embe ili hali ni msimu wa maembe.

Mzee ana play role yake ili na Wanyonge nao wa play ya kwao next year.
 
Ameogopa sio kwamba ame change..... "human being have blood they fear changes" hence he has feared to be thrown out from presidency come 2020
Why would he be afraid?? In my point of view, hizo ni kelele tu. Whether or not you like it he is our president and will be our president.
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Period
 
Write your reply...ni uoga wa uchaguzi ameshaonja utamu wa ikulu hana Huruma huyo
 
Why would he be afraid?? In my point of view, hizo ni kelele tu. Whether or not you like it he is our president and will be our president.
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Period
Wewe hujui siasa za Tz hususani za CCM wazee wafitina wana soma mchezo wanaweza wakamtupa nje, nakugombea hasigombee, na akabakiza huruma zawananchi tu....hataki kuharibu kwote kwote
 
Ukimlinganisha rais Magufuli wa kipindi kile cha tetemeko kule kagera na Magufuli wa sasa unaweza kufikiri ni watu wawili tofauti.

Magufuli wa tetemeko alikuwa ni mtu mwenye kiburi, jeuri ambae hakuonesha hata chembe ya huruma kwa wahanga wale wa tetemeko, hata pesa ambazo wasamaria wema walichanga ziliishia kurekebisha miundombinu huku zikiwaacha wakilala nje waking'atwa na mbu,hakukuwepo na hata chembe ya huruma kwa wahanga wa tetemeko la Kagera isipokuwa waliishia kukejeliwa tu.

Tukirudi kwenye janga la moto la Morogoro ambalo zaidi ya watu 80 wamefariki tena zaidi ya 90% ya wahanga wa tetemeko lile walijitakia wenyewe, lakini cha ajabu rais wetu ameonesha huruma ya kipekee kwa Marehemu na majeruhi.

Hii huruma ya sasa imetoka wapi? Kwanini sio kwa wakagera ikawa kwa wamorogoro?
hofu ya 2020.... but it's already too late I think!
 
Wewe hujui siasa za Tz hususani za CCM wazee wafitina wana soma mchezo wanaweza wakamtupa nje, nakugombea hasigombee, na akabakiza huruma zawananchi tu....hataki kuharibu kwote kwote
Mipango ya Mungu hakuna wa kuipangua. Kwa taarifa yako Magufuli ni mpango wa Mungu.
 
Ukimlinganisha rais Magufuli wa kipindi kile cha tetemeko kule kagera na Magufuli wa sasa unaweza kufikiri ni watu wawili tofauti.

Magufuli wa tetemeko alikuwa ni mtu mwenye kiburi, jeuri ambae hakuonesha hata chembe ya huruma kwa wahanga wale wa tetemeko, hata pesa ambazo wasamaria wema walichanga ziliishia kurekebisha miundombinu huku zikiwaacha wakilala nje waking'atwa na mbu,hakukuwepo na hata chembe ya huruma kwa wahanga wa tetemeko la Kagera isipokuwa waliishia kukejeliwa tu.

Tukirudi kwenye janga la moto la Morogoro ambalo zaidi ya watu 80 wamefariki tena zaidi ya 90% ya wahanga wa tetemeko lile walijitakia wenyewe, lakini cha ajabu rais wetu ameonesha huruma ya kipekee kwa Marehemu na majeruhi.

Hii huruma ya sasa imetoka wapi? Kwanini sio kwa wakagera ikawa kwa wamorogoro?
Siku ya mwisho kila goti litapigwa
 
Mungu yupi unao manisha? Mungu anae penda visasi Mungu anae kosa huruma si dhani kama ni Mungu tunae mwaamini sote
Mungu asingeruhusu hayo yatokee kama sio mpango wake ndio maana nakwambia Magufuli ni mpango wa Mungu. Nyie pigeni porojo zenu ila hilo halibadiliki mpaka atake.
 
Back
Top Bottom