Hii 'hug' matata ya Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee(CNN) imeibua hisia nyingi sana mitandaoni

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,923
13,344
H0PC4nIJyFUhuruZain.PNG
Hii ndio 'hug' ambayo imesisimua mitandao ya kijamii Kenya. Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee, ambaye alikuwa 'news anchor' wa CNN walipatana kwenye kongamano la 4th United Nations Enviromental Assembly hivi majuzi pale makao makuu ya UNEP Gigiri, Nairobi. Baada ya kukumbatiana ile ya kweli kabisa waliongea kwa muda huku wakicheka cheka na viongozi wengine akiwepo RAO wakibaki tu kuwa wapenzi watazamaji. Kumbe Rais Uhuru Kenyatta naye ni member mwenzetu wa #TeamMafisi?
 
H0PC4nIJyFUhuruZain.PNG
Hii ndio 'hug' ambayo imesisimua mitandao ya kijamii Kenya. Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee, ambaye alikuwa 'anchor' wa CNN walipatana kwenye kongamano la 4th United Nations Enviromental Assembly hivi majuzi pale makao makuu ya UNEP Gigiri, Nairobi. Baada ya kukumbatiana ile ya kweli kabisa waliongea kwa muda huku wakicheka cheka na viongozi wengine akiwepo RAO wakibaki tu kuwa wapenzi watazamaji. Kumbe Rais Uhuru Kenyatta ni member mwenzetu wa #TeamMafisi?
Then the Patels part away with finances for some Arror and Kimwarer dams!
 
H0PC4nIJyFUhuruZain.PNG
Hii ndio 'hug' ambayo imesisimua mitandao ya kijamii Kenya. Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee, ambaye alikuwa 'anchor' wa CNN walipatana kwenye kongamano la 4th United Nations Enviromental Assembly hivi majuzi pale makao makuu ya UNEP Gigiri, Nairobi. Baada ya kukumbatiana ile ya kweli kabisa waliongea kwa muda huku wakicheka cheka na viongozi wengine akiwepo RAO wakibaki tu kuwa wapenzi watazamaji. Kumbe Rais Uhuru Kenyatta ni member mwenzetu wa #TeamMafisi?
huyo fisi mwenzangu, ninamkubali sana Uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H0PC4nIJyFUhuruZain.PNG
Hii ndio 'hug' ambayo imesisimua mitandao ya kijamii Kenya. Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee, ambaye alikuwa 'anchor' wa CNN walipatana kwenye kongamano la 4th United Nations Enviromental Assembly hivi majuzi pale makao makuu ya UNEP Gigiri, Nairobi. Baada ya kukumbatiana ile ya kweli kabisa waliongea kwa muda huku wakicheka cheka na viongozi wengine akiwepo RAO wakibaki tu kuwa wapenzi watazamaji. Kumbe Rais Uhuru Kenyatta ni member mwenzetu wa #TeamMafisi?
That is a very intimate hug, not an ass out hug!
 
Uhuru hapo LAZIMA akatoe maelezo toshelevu kwa wife wake. Vinginevyo, siwezi kuotea kitakacho tokea.

Maana iliwahi nitokea kwenye event moja nilisimama kama dk 3 na mdada mmoja katika kusalimiana na story mbili tatu. Kilichofuata nusu nisusiwe event. Nikaona mtu kachenji.
Teh teh teh tihiii
Lkn kama ilivyo kawaida, nilimpa mashairi mawili matatu, mambo yakawa shwari.
 
Hehehe haya mambo bana, yaani hutokea yenyewe tu bila kupanga wala kulazismisha, unashindwa ujibu vipi.
Mimi jicho langu lilinisababishia matatizo, yaani chombo chenye makalio makubwa kilipita nikiwa na mke, sijui ilitokea vipi nikajisahau na kufuatishia macho kutazama hayo mavitu yalivyokua yanacheza cheza, kuanzia hapo ilikua mtihani kujaribu kurejesha amani duniani.
 
Hug za walevi hizo
Kitu pekee ambacho unatumia halafu unafanya mambo ambayo baadae unajishangaa ni POMBE tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hehehe haya mambo bana, yaani hutokea yenyewe tu bila kupanga wala kulazismisha, unashindwa ujibu vipi.
Mimi jicho langu lilinisababishia matatizo, yaani chombo chenye makalio makubwa kilipita nikiwa na mke, sijui ilitokea vipi nikajisahau na kufuatishia macho kutazama hayo mavitu yalivyokua yanacheza cheza, kuanzia hapo ilikua mtihani kujaribu kurejesha amani duniani.

Ahaaa haaa haaa
Hiyo inaitwa macho hayana pazia. Hapo lazima ucheze kibingwa. Inabidi ghafla bin vuu, ubadirishe maongezi kwa kumsifia. Uanze kusema huu mkoba uliotupia uko mwake? Umemechisha mwanangu. Hivi kile kiatu ulichosema unataka lini una muda tukakichukue. Hapo utaona meno, tayari anafurahi. Ila ole wako siku ambayo anataka kiatu chake useme sina hela, MII HAPO SIMO. Maana wenyewe wanakomalia issue KAMAwatoto wadogo vile.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom