Hii 'hug' matata ya Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee(CNN) imeibua hisia nyingi sana mitandaoni

Hii meme kutoka S.Africa ni kali sana. Aisee, 'Uhunye' na mayellow yellow buana. Hahaha! :D:D:D
uhuru_meme1_0.jpg
 
Kumbatio la furaha! Sijui ni yupi alitaka kumdandia mwenzie lakini wakakumbuka wako had hadharani.

H0PC4nIJyFUhuruZain.PNG
Hii ndio 'hug' ambayo imesisimua mitandao ya kijamii Kenya. Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee, ambaye alikuwa 'news anchor' wa CNN walipatana kwenye kongamano la 4th United Nations Enviromental Assembly hivi majuzi pale makao makuu ya UNEP Gigiri, Nairobi. Baada ya kukumbatiana ile ya kweli kabisa waliongea kwa muda huku wakicheka cheka na viongozi wengine akiwepo RAO wakibaki tu kuwa wapenzi watazamaji. Kumbe Rais Uhuru Kenyatta naye ni member mwenzetu wa #TeamMafisi?
 
Huyu bidada ni mrembo halafu anajipenda.

Kwa hug hilo unadhani Serikali ya Kenya itaandikwa au kusema vibaya huko CNN zaidi ya kupambwa na kufanya investors wa Ulaya na America kuja kwa wingi zaidi Kenya na pia Mr President kupata kitu kitamu kutoka kwa binti

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom