Hii 'hug' matata ya Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee(CNN) imeibua hisia nyingi sana mitandaoni

Kukumbatiana ni kitu cha kawaida sana, tena kwa watu ambao wanafahamiana vizuri. Ikizingatiwa kwamba rais U.K amehojiwa mara kadhaa na CNN na Zain Verjee ni mkenya ambaye alikuwa anafanya kazi CNN. Utata uliopo, tena ambao ni wa utani tu kwa wakenya, sio kwasababu walikumbatiana, ila ni kwamba ilikuwa ni 'hug' ya mafeelings kibao. Lighten up people! Sio kila siku kukunja sura tu na kuchukulia kila kitu serious sana. Wakenya mitandaoni wanaifanya kama utani tu!
j2FHadt.jpg
XoEajbq.png
 
Duh! Hapo Uhuru kajiachia nje nje, yaani full mkumbatio huku amefumba macho kwa raha.....ajiandae kwa maelezo kamili kwa mkewe maana patamu hapo.
Hapo kwa kufumba macho sasa ndio itabidi awe mdogo kama piriton kwa Maggie, alafu na awe creative kupindukia. Ili ajinasue lazima ataibuka na za cologne hivi, labda ilikuwa strong sana puani ikabidi afumbe macho ili chozi lisidondoke. Hehe! :D
 
Kwani Huyo dada kaolewa? If yes, namuonea huruma sana mumewe.....

Kwa Maggie sio issue, hasa kama mjamaa ni teammafisi tokea kitambo kwani bila shaka keshakumbana na makubwa zaidi kuliko hiyo hug.

Mambo mengine ni kupotezea tu! Kwani urais unapunguza testosterones jameni? Wacheni hizo
 
H0PC4nIJyFUhuruZain.PNG
Hii ndio 'hug' ambayo imesisimua mitandao ya kijamii Kenya. Rais Uhuru Kenyatta na Zain Verjee, ambaye alikuwa 'news anchor' wa CNN walipatana kwenye kongamano la 4th United Nations Enviromental Assembly hivi majuzi pale makao makuu ya UNEP Gigiri, Nairobi. Baada ya kukumbatiana ile ya kweli kabisa waliongea kwa muda huku wakicheka cheka na viongozi wengine akiwepo RAO wakibaki tu kuwa wapenzi watazamaji. Kumbe Rais Uhuru Kenyatta naye ni member mwenzetu wa #TeamMafisi?
Zain na Uhuru hawajafahamiana CNN.

Zain Verjee is journalist who was born and raised in Kenya. Zain is one of the world’s most respected and recognized journalists, with an action-packed background and experience as a storyteller, entrepreneur, communicator, and interviewer. Wikipedia

Born: February 11, 1974 (age 45 years), Nairobi, Kenya

Nationality: Canadian, Kenyan
 
Kuna mshkaji hapo nyuma ameshafika 4G katoa Jicho balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zain na Uhuru hawajafahamiana CNN.

Zain Verjee is journalist who was born and raised in Kenya. Zain is one of the world’s most respected and recognized journalists, with an action-packed background and experience as a storyteller, entrepreneur, communicator, and interviewer. Wikipedia

Born: February 11, 1974 (age 45 years), Nairobi, Kenya

Nationality: Canadian, Kenyan
Shukran sana madam. Ila sidhani kama kuna mkenya ambaye hajui kwamba Zain Verjee ni mkenya.
 
Zain na Uhuru hawajafahamiana CNN.

Zain Verjee is journalist who was born and raised in Kenya. Zain is one of the world’s most respected and recognized journalists, with an action-packed background and experience as a storyteller, entrepreneur, communicator, and interviewer. Wikipedia

Born: February 11, 1974 (age 45 years), Nairobi, Kenya

Nationality: Canadian, Kenyan
Hahaha hakuna aliyesema wamekutana CNN mkuu!
 
Back
Top Bottom