Hii hotel iko wapi?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,732
10,057
wana jukwaa.. hebu cheka huku ukitafakari! soma kisa hiki!

Jamaa flani alikuwa anatembea mtaani mchana huku akiwa na njaa kaliiii!

Mara akaona bango la restaurant moja limeandikwa; 'KU-LA KADRI YA UWEZO WAKO, BILI YAKO ITALIPWA NA WAJUKUU ZAKO!'

Jamaa akafurahi kweli....akazama ndani na kuagiza chakula cha kila aina kwa vurugu!

Baada ya kula na kushiba ile kisawasawa, akashangaa kuletewa bili moja ya hatari akitakiwa ailipe..

Jamaa akamuuliza waiter, "Kwani lile bango pale nje hujasoma?"

Waiter akajibu, "Nimesoma, lakini hii bili si yako...ni ya Babu yako!"



hii hotel iko wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom