Hii hi-speed ya CUF kudai katiba mwaka huu imetoka wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii hi-speed ya CUF kudai katiba mwaka huu imetoka wapi?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Meshacky, Dec 31, 2010.

 1. M

  Meshacky Member

  #1
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanazuoni naomba mchango wenu. pamoja na nia yao pengine nzuri, sina uhakika ,CUF wameonyesha speed kubwa sana ya kudai katiba mara tu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu. pamoja na yote wamekimbilia kumpelekea rasmu ya katiba mtu ambaye wote tunajua hana interest na katiba mpya(Celine dione) na wanadai serikali tatu. Swali hii hi-speed imetoka wapi mwaka huu? Ni kipi walichoona mwaka huu ambacho hawakukiona miaka mingine? Je ni CUF ipi inayodai serikali tatu? ya zanzibar au ya bara? kama ni ya zanzibar wao sera yao ni serikali moja, hilo liko wazi. kama ni ya bara ina maana kuna CUF 2 kwa sababu ya sera tofauti. Naomba CUF zote mbili wanijibu kupitia JF nia siyo mbaya ni kuelimishwa
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  CUF Zanzibar inataka serikali moja!

  Iko wazi wapi?

   
 3. c

  cray Senior Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  This is the habits of hypocrites, dont you know these people. Hahahahahahahahahahaaaa
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Ujanja kuwahi.
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nami nilishangaa sana kihelehele cha cuf kupeleka eti katiba yao kwa serikali. Tangu lini alkaida wanaijua katiba!!! Tehe tehe tehehee!
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  wengi mnaoongea hapa hamjui siasa, hamuijui CUF, na hamna hoja!!

  Siasa: is a game of chance!!! thats is what politicians always do!!
  CUF: is not first time to demand this, wameenda mbali sana na kuitaka serikali ya Tanganyika, hence kuvunja muungano!!! na hili ni sifa kwao!

  sasa chuki zenu hizi zitaharibu kila kitu, mlitaka wapeleke chadema? wanasubiri nini??
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Je huu ni utaratibu mpya wa vyama vya siasa TZ?

  Kuwa na CUF bara na CUF Zanzibar?
  CCM bara na CCM Zanzibar?
  CHADEMA bara na CHADEMA Zanzibar?
  NCCR bara na NCCR Zanzibar?

  Au sikukufahamu hapa!!???
  Utaratibu huu umeanza lini?
   
 9. S

  Shkh Yahya Senior Member

  #9
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa hapa ndio umma utajuwa ni kipi chama makini Tanzania. Mshangao huu unaonyesha kama CUF kumbe ndio chama kinachojuwa kinachosema na kinasimamia. Nilitoa mfano juzi kuwa kwenye ilani za uchaguzi CUF ndio chama pekee kilichoweza ku-link the projected revenue na expenditures for the coming 5 years kama wangechaguliwa. Walieleza kwa ufasaha sorouces na projected amount. Ila vyama vingine (of-course ikiwemo CHADEMA) waliishia kusema tu watatoa elimu bure, mfuko wa Cement shilingi alfu 5, n.k bila kueleza sources zake na application zake.

  Tukija kwenye hili la Katiba..kwa muda mrefu CUF walijipanga na wakatengeneza rasimu yao ambayo kama wangechaguliwa wangeweza kushawishi wananchi waiunge mkono na tukaona mabadiliko ya kweli Tanzania hii. Vyama vingine (CHADEMA inclusive) vimeishia kusema tu kama vinataka Katiba mpya bila hata yakuwa na mifano ya hiyo katiba wanayoitaka licha ya kusheheni wanasheria wanaojivunia (Tundu Lisu na Marando).

  Hapa tunapata conclusion moja tu kama jamaa yangu mmoja alivyosema humu kama CHADEMA si chama makini ila ni Pressure Group iliyojaa ma whistle blowers. Wao wacha wapate mabomu tu wayalipue na kudandia hoja tu. Mara waandamane kwenye umeme,mara ufisadi,mara mara.
   
 10. e

  e=mc2 Member

  #10
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali hii hi-speed imetoka wapi mwaka huu? Ni kipi walichoona mwaka huu ambacho hawakukiona miaka mingine?


  Hee politics!!! It does not need a rocket scince!!! Remember ANY SERIOUS POLITICAL PARTY IS A GOVENMENT IN WAITING (PS 101). Just dont forget Pembans died because of that. Again actions speaks louder than words!!! katiba mpya katiba mpya.. where is yours guys??
   
 11. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #11
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ukiangalia watu wote wanaoitetea CUF humu jamvini ndio hao hao waoitetea CCM na kuiponda CHADEMA na ndio hao hao wanaoingiza udini katika mijadala humu jamvini
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  CUF ni wanafiki
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Shalom na heri ya Mwaka Mpya .
  Naona mabishano ila sijaona CUF wamewahi kitu gani ? Kwani kupeleka rasimu ina maana wao wame impact kuandikwa Katiba mpya? Waliko peleka ndiko haswa kunakotakiwa rasimu kupelekwa ? Mimi nadhani kwamba kelele hizi pamoja na CUF ni kutaka kufunguliwa kwa mjadala rasmi na kuafikiwa kuandikwa rasimu ambayo inaweza kuwa na mawazo machache , mengi au hakuna kabisa toka katika rasimu hiyo ya CUF.
  Kuna kushindana mbele ya wapiga baadaye ? Ni mtaji kumbe ?Hebu tujadili tena bila usongo na kuacha tabia ya u mimi ama u sisi inapelekea matamshi ya ajabu kwenye midahalo in the end.
   
 14. S

  Shkh Yahya Senior Member

  #14
  Jan 1, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 100
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Alaa!! kumbeee
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  CUF ni kitengo cha propaganda cha ccm
   
 16. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Bara ndio nchi gani? au sehemu gani?, ukitaja Tanzania unamanisha Zanzibar na TANGANYIKA ndio utaeleweka. kwanini hamjisikii fakhari kutaja jina la nchi yenu mkataa kwao..... wazenj wajanja! wamewapiga bao wa Tanganyika:party:
   
 17. L

  LAT JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Pembans......from which country.... a tribe..., or a nationality
   
 18. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #18
  Jan 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280

  Ndiyo utetezi wako? mimi ni mkristo tena mlokole!co-pastor if you want to know! wewe ndio unaconfirm hilo kwa udini wako, mimi kwangu naangalia goli tu!
   
 19. J

  JokaKuu Platinum Member

  #19
  Jan 1, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,955
  Trophy Points: 280
  ..hali yoyote ile ya kurushiana vijembe kati ya CUF na CDM inawafaidisha mahafidhina ndani ya CCM.

  ..kuna watu wengi sana wameshughulika na suala hili la katiba.

  ..Majid Mjengwa ametukumbusha kwamba waasisi wa harakati hizi ni pamoja na watu kama Chifu Fundikira[r.i.p], Mabere Marando, etc etc.

  ..kitu cha msingi hapa ni kuweka maslahi ya nchi mbele ya maslahi ya vyama na watu binafsi.

  NB:

  ..CUF wana historia ya kushughulika na masuala ya katiba kutokana na ukweli kwamba asili ya chama hiki ni Zenj. mgogoro wa kikatiba unachakua nafasi kubwa sana ya siasa za Zenj.

  ..Chadema kimeanzishwa na retired civil servants, wao tangu mwanzo walijikita ktk kukosoa sera za uchumi, na masuala ya kiutendaji na kiutawala. sioni ajabu kama hawata kuwa advanced kama wenzao ktk hoja za katiba mpya.

  ..NCCR ilikuwa na uongozi uliosheheni wanasheria waliobobea. kuna uwezekano wakawa na hoja nzito na zenye manufaa kuhusu katiba mpya.

  ..kama sijakosea Mabere Marando alipendekezwa na Mwinyi awepo kwenye tume ya Jaji Nyalali lakini akakataa uteuzi huo.
   
 20. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hivi bara (Tanganyika) tukiamua msile nyie mtakula kweli? hakuna bao lolote ambalo visiwani wametupiga bara, bado nyie magwata tu.....
   
Loading...