Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
Nimesoma
Nchi za wenzetu za dunia ya kwanza waziri mkuu tunakutana kwenye train asbh akienda kazini na saa zingine tunakutana nae ana baiskeli na walinzi wawili. Nchi hizo hizo ndio wanatoa misaada kwetu. Hawana huo ulinzi wa jiwe. Anaogopa nini jiwe? Watanzania tangu lini wakawa na visasi na majiwe? Unaposema ati teknolojia imechange wenzetu ukiacha marekani hawana hizo teknolojia? Marekan Wanajijua wanamaadui wengi ndani na nje kwa sababu ya sera zAke. Sisi tuna maadui
Gani ndani? Upinzani!!!?? Hayo magari ya garama ya ulinzi yafaa kuuzwa fedha zikatumika ktk huduma za afya na elimu. Ulinzi wa magari matano watosha kabisa.