Hii hapa ratiba ya uchaguzi wa Yanga hakuna chakula

Benevento

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
4,982
29,535
Ratiba ya uchaguzi wa Yanga imetoka katika hali isiyokuwa ya kawaida hamna ratiba ya chakula
1088458
 
Chakula watakula makwao..ndala tunashida ya pesa kila mtanzania anajua!

mikia hawana shida ya pesa...tehtehtehteh...account yao imenona....halafu itaongezewa fedha za ushiriki wa champions league kutoka caf ...tehtehte....illusions......eti mikia ni matajiri...tangu lini...wanadhani fedha za ushiriki zitaingizwa kwenye account ya klabu...Maana ya uwekezaji ni nini?? Mtu hawezi kuwekeza kama hakuna faida....Account ya mikia huenda inasomeka zero...
 
Dah wakuu mnatufuatilia hadi uvunguni,tupeni pumzi tupumie wakuu tunajua wenzetu npo juu kuliko sisi....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom