• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Hii hapa ratiba kamili mpya ya mazishi ya madiba

Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Messages
1,198
Points
0
Taswira

Taswira

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2012
1,198 0
Rais Jacob Zuma ametangaza muda mfupi uliopita kwamba mazishi ya Nelson Mandela yatafanyika siku ya Jumapili, Desemba 15 kijijini kwake Qunu, katika jimbo la Eastern Cape.
Rais Zuma pia ametangaza siku 10 za maombolezo kitaifa na bendera zitapeperushwa nusu mlingoti katika muda wote huo. Na ameitangaza siku ya Jumapili ya Desemba 8, 2013 kuwa siku maalumu ya kitaifa ya maombolezo na kumkumbuka Madiba nchi nzima.
Tayari msisimko wa mazishi hayo yanayotarajiwa kuwa ya kihistoria umekamata dunia nzima, ambapo tayari Rais Obama wa Marekani, mstaafu Bill Clinto na Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron ni baadhi tu ya viongozi ambao wamethibitisha kushiriki.
Sala ya mazishi imepangwa kufanyika katika uwanja wa Taifa wa FNB Desemba 10, 2013 jijini Johanesburg.
Mwili wake utawekwa jengo la serikali liitwalo Union Buildings kuanzia Desemba 11 hadi 13, kwa kupewa heshima za mwisho, kabla ya kupelekwa kijijini Qunu kwa mazishi
Uwanja wa Taifa wa michezo wa Johannesburg ambako sala rasmi ya Kitaifa ya mazishi itafanyika siku ya Jumapili ya Desemba 10, 2013
Jengo la Union Buildinga ambapo mwili wake utawekwa kwa ajili ya kupewa heshima za mwisho kuanzia Desemba 11 hadi 13, 2013
Ulinzi mkali katika nyumba ya familia ya Madiba kijijini kwake Qunu ambako atapumzishwa katika nyumba yake ya milele Desemba 15, 2013.
 
M

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
894
Points
195
M

Makaura

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
894 195
Hivi amekamatwa muhusika wa mauaji ya watu pale SOWETO Arusha? Mlete uzi umenikumbusha mauaji ya kinyama kwenye mkutano wa Chadema Arusha! Mungu amsamehe muhusika
 
O

Oikos

Senior Member
Joined
May 5, 2011
Messages
198
Points
170
O

Oikos

Senior Member
Joined May 5, 2011
198 170
Natabiri kuwa mazishi yake yatahudhuriwa na marais na viongozi wengi wa kitaifa kuliko Rais yeyote mwingine katika karne hii ya 21
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
Natabiri kuwa mazishi yake yatahudhuriwa na marais na viongozi wengi wa kitaifa kuliko Rais yeyote mwingine katika karne hii ya 21
Too obvious
 
omary mwene

omary mwene

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2013
Messages
294
Points
0
omary mwene

omary mwene

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2013
294 0
Hivi amekamatwa muhusika wa mauaji ya watu pale SOWETO Arusha? Mlete uzi umenikumbusha mauaji ya kinyama kwenye mkutano wa Chadema Arusha! Mungu amsamehe muhusika
We nawe ndio walewale,watu wanaogelea A wewe unaleta X.....!? Madiba na Arusha wapi na wapi.
 
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Messages
22,565
Points
2,000
N

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2013
22,565 2,000
Nadhani kikwete naye atatia timu pale SA...
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
8,083
Points
2,000
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
8,083 2,000
MBIIRWA

MBIIRWA

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Messages
2,433
Points
2,000
MBIIRWA

MBIIRWA

JF-Expert Member
Joined May 24, 2013
2,433 2,000
Anaweza akaondoka hata kesho akapige kambi mpaka siku ya mazishi....
Amepata sbb, utamsikia juu kwa juu kutoka Ufaransa hadi Afrika kusini
 
KAFA.cOm

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Messages
1,305
Points
2,000
KAFA.cOm

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2013
1,305 2,000
Natabiri kuwa mazishi yake yatahudhuriwa na marais na viongozi wengi wa kitaifa kuliko Rais yeyote mwingine katika karne hii ya 21
hvi huyu raisi we2 atakosa kweli au membe ndo atamwakilisha?
 
D

DEWJI

Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
67
Points
95
D

DEWJI

Member
Joined Dec 7, 2012
67 95
Hivi amekamatwa muhusika wa mauaji ya watu pale SOWETO Arusha? Mlete uzi umenikumbusha mauaji ya kinyama kwenye mkutano wa Chadema Arusha! Mungu amsamehe muhusika
hii mirungi nayo tabu sana, hivi huyu yupo timamu kweli
 

Forum statistics

Threads 1,403,309
Members 531,177
Posts 34,420,021
Top