Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

Usijitoe ufahamu. Kama nyumba ndio hii sadaka anapeleka wapi ?
Mtu mzima lkn hutumii hata chembe ya ubongo wako.
Kua na nyumba mbaya sio sababu ya kutokua mwizi.
Yale yale na wale wale

Umeshawahi toa mchango wowote kanisani kwake?
Ungekua mtoaji usingepata shida kuelewa yanayosumbua ubongo wako ulioamua kuulisha pumba
 
Usijitoe ufahamu. Kama nyumba ndio hii sadaka anapeleka wapi ?
Mtu mzima lkn hutumii hata chembe ya ubongo wako.
Kua na nyumba mbaya sio sababu ya kutokua mwizi.
Sasa anakula bata Taxes
 
View attachment 151696
View attachment 151697

Hii hapa, ndiyo nyumba pekee ya Askofu Mkuu Zachary Kakobe, kama wanavyothibitisha waumini wake, na watu wengi wanaofahamu undani wa maisha yake binafsi. Ni nyumba ya kawaida sana ya vyumba vinne, iliyojengwa katika mtaa wenye nyumba ambazo zimebanana sana, bila kuacha nafasi; eneo la Kijitonyama, Dar-Es-Salaam; umbali mfupi kutoka Kituo cha Polisi, Mabatini.

Kakobe, aliijenga nyumba hii, mwaka 1986, kutokana na kazi aliyokuwa akiifanya, na biashara zake binafsi alizokuwa akizifanya, nyakati hizo; kabla ya kuitika wito wa kumtumikia Mungu. Nyumba hii aliijenga kwa gharama ya shilingi milioni mbili tu (Tsh 2,000,000/=) miaka hiyo, ambapo gharama ya ujenzi Tanzania, ilikuwa haijakuwa kubwa, kama ilivyo sasa. Wakati Kakobe anajenga nyumba hii, Kanisa analoliongoza sasa, la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), lilikuwa bado halijaanzishwa. Kanisa hili, lilianzishwa miaka mitatu baadaye, yaani tarehe 30.4.1989. Mpaka leo, miaka 25 tangu Kanisa hili lianzishwe, Kakobe hajawahi kuishi katika nyumba nyingine au kuwa na nyumba yake nyingine yoyote.

Askofu Kakobe, ana gari moja tu binafsi, "unaloweza kusema kuwa ni gari"; ambalo alipewa zawadi na waumini 84 (themanini na wanne), waliochangishana kwa hiari, wenyewe kwa wenyewe; bila yeye kujua, na wakanunua gari hilo na kulileta Kanisani Jumapili ya tarehe 27.6.2010, bila kumpa taarifa; na kwa kumshitukiza, wakajitokeza mwisho wa ibada, na "kumlazimisha" kupokea zawadi hiyo, kutoka kwao. "Walimlazimisha" kwa risala ndefu, kwa sababu, huko nyuma, aliwahi kupewa mara kadha, zawadi za magari, na baadhi ya waumini, na akayakataa magari yao.

Gari jingine, ni la mke wake Hellen, gari dogo "Toyota Sprinter", mtumba au "used", lenye umri wa miaka takriban 20, alilopewa na waumini watatu akina mama, kama zawadi, mwaka 2007. Vilevile, hakuna mtoto wake yeyote mwenye nyumba au gari.

Hii, ni kinyume kabisa na maneno mengi yanayosikika mitaani, kwa baadhi ya watu, wanaosema kwamba Kakobe anaishi maisha ya kifahari kupindukia, ana majumba mengi ya kifahari, na magari mengi sana ya binafsi, na mali nyingi alizojilimbikizia binafsi, kutokana na "biashara" ya "Kanisa lake".

Akizirejea mali zake hizi, zilizotajwa hapo juu; kwa miaka kadha sasa, Askofu Kakobe amekuwa akizungumzia juu ya mali zake binafsi, katika vyombo mbalimbali vya habari, na kusema kama ifuatavyo, nami ninamnukuu, "Mimi sina nyumba yoyote zaidi ya hii, MAHALI POPOTE DUNIANI, siyo kijijini kwangu, wala mji wowote duniani; na vivyo hivyo mke na watoto wangu wote, hakuna hata mmoja mwenye nyumba mahali popote duniani. Siyo hilo tu, mimi wala mke wangu, hatuna biashara yoyote, shamba, wala mifugo, popote duniani; vilevile, mimi, wala mke wangu, hatuna akaunti binafsi ya fedha, katika BENKI YOYOTE DUNIANI. Kama yuko mtu yeyote mwenye taarifa zozote zilizo tofauti na hizi, basi ajitokeze na kuweka ushahidi hadharani na kuniumbua". Kwa miaka kadha sasa, tangu aseme hivi; hakuna hata mtu mmoja, aliyejitokeza hadharani kutoa ushahidi wa mali zake nyingine, kwa picha, au vyovyote vinginevyo.

Kwa kuwa hapa JF, ni "WHERE WE DARE TO TALK OPENLY", au mahali tunapothubutu kuzungumza kwa uwazi, bila hofu; ili kukata mzizi wa fitina, ebu basi, mtu yeyote hapa, anayejua mali nyingine binafsi za Kakobe, na ufahari wa maisha yake binafsi, wa namna moja au nyingine, ajitokeze hapa, na kutujuza kwa ushahidi wa picha, au vinginevyo; na siyo kwa uzushi tu wa kuambiwa, ili tujue hasa, ukweli ni upi! NAWASILISHA.
Kakobe aliyekuwa na studio ya kurekodi kaseti za muziki Temeke mwisho ikijulikana Muranga Recording Studio!
 
Unataka kutuaminisha millioni mbili ni hela ndogo. Hivi unajua thamani ya Millioni 2 ya mwaka 1986?
 
Kuhusu ushahidi wa picha au sauti au video, vijana karne hii tukiamua kumuua MTU kwa presha masaa 24 ni mengi. Personally I can fake anything.
 
mchungaji akihitaji gari tunamchangia muhumini akiwa na matatizo tunamwombea
kijana chapa kazi mafanikio ayaji kiwepesi
 
Mbona mi naona ni kama uzio tu wa nyumba, nafikirinungepiga ndani ndio ulete hoja yako na hapo ingekuwa na mashiko zaidi!! Au ulizuiwa kuingia ndani?!
 
Ni kweli kabisa, hizo tu ndiyo mali zake binafsi Askofu Kakobe. Mimi nimekuwa muumini wa Kanisa la FGBF, kwa miaka 25 sasa, yaani tangu lilipoanzishwa 1989. Muda huu mrefu, umenipa kumfahamu kwa karibu sana, Mchungaji wangu huyu. Ninathibitisha kwamba haya ndiyo maisha halisi ya Askofu Kakobe, tofauti na uzushi mwingi wa mashetani. Mtumishi huyu wa Mungu, analiishi hasa Neno la Mungu analolihubiri; ndiyo maana waumini tunampenda, kumwamini na kumheshimu; na makelele yote ya mashetani, hayawezi kututenganisha naye. Ninapafahamu mpaka kijijini kwake Askofu Mkuu Kakobe, huko Kakonko, Kigoma. Kijijini kwake, nako, hana hata banda. Miaka yote hii, akienda kijijini, amekuwa akifikia kwenye nyumba ndogo ya wazazi wake, Frank Kakobe, na Debora Kakobe, waliofariki muda si mrefu uliopita.
Kama ulikuwa muumini Tu mm nimejenga kanisa la Mwenge sio mm Tu wazazi wangu pia. Watoto wa Kakobe akina Sifa na Frank na wengine tumecheza nao. Kiukweli Bora kufunga mdomo. Ila FGBF ya Leo sio ya miaka Ile.
 
Back
Top Bottom