Hii hapa mpya, kazi bila CV, na INTERVIEW kuwezekana.

all is your assistance to me.


  • Total voters
    3
  • Poll closed .

Mkillindy

Member
Sep 14, 2011
37
4
Hii imezoeleka sana kwenye makampuni, huwa wakitoa nafasi za kazi wanahitaji
more than 3 years of experience.Je kwa wanafunzi waliomaliza chuo miaka hii ya karibuni
wana hizo sifa?, au ni kunyimana kazi !

Kwa sasa bofya hapa uone namna ya kupata kazi bila CV, na interview.
 
hapo hata huyo ndugu atahudhuria tu interview kuzuga lakini kazi husika keshaipata. Hii poll mi naishangaa ina option YES mwanzo mwisho..anyway
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom