Hii hapa CV ya John Shibuda Mbunge Maswa magharibi(chadema) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii hapa CV ya John Shibuda Mbunge Maswa magharibi(chadema)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jimjamtz, May 19, 2012.

 1. jimjamtz

  jimjamtz Senior Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  NAOMBA NIONE CV YA Mh. SHIBUDA,JUST HUMAN INTREST!
   
 2. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mbona tunapenda kumpa umaarufu wa bure huyu kichaa?
   
 4. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Natumia sm ya tochi babuu,rahisha CV YA MWEHU HUYO.
   
 5. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Cv ya nini? Kwa watu wapumbavu hukimbilia cv,watu wenye cv zilizoshiba wameifanyia nini tz kama siyo ujanja ujanja na wizi bora ya SHIBUDA.Tz siasa ni uadui,bora nchi hii itawaliwe kijeshi tu ili kelele mshenzi kama hizi ziishe!Wachumia tumbo utawajua tu,SHIBUDA siyo mmoja wao,jaribuni muone.
   
 6. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  form 4 tu, hana lolote!
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa kwa sisi tuliyekua naye bungeni ukiacha cv yake iliyo katika tovuti ya bunge ana cv hii.
  1.kila siku kwenye party ya kumaliza kupitisha bajeti ya wizara huwa anakojoa popote kwa sababu ya ulevi.
  2.kina mama wa ccm viti maalum hawapandi lift ya huyu jamaa(nafikiri wanaogopa kubakwa )
  3.madereva taxi pale bungeni wakimchukua wanadai malipo kabla hawajaondoa gari'
  4.kasheshe alipopnga.
  5.mziki atakapomalizia ulevi kama hajapata dem.
   
 8. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  CHDM mbona kazi tunayo, tutautuaje huu Mzigo?
   
 9. jimjamtz

  jimjamtz Senior Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Niliuliza CV yake maana huyu jamaa huwa simwelewi elewi!nadthani Ringo Edmund kanipa mwanga kwa kiasi fulani,naona kama anfit kwenye hizo 4 ulizoziainisha. Ubakaji anaweza kweli?mbona anajua sana Ngonjera!
   
 10. M

  Masabaja Senior Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha njaa nina uhakika lazima Shibuda ni mgonjwa wa akili au anaendeshwa kwa kufikiria kutumia tumbo, ni aibu hata kujua CV yake kwani kwa kumuona tu unajua ana akili nafikiri watu kama hawa wanatakiwa wawe wanaishi mirembe sijui kwa nini madaktari hawajamchukua

   
 11. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Hakika hii nchi tuna safari ndefu>>>>>
  Kwahiyo CV uliokuwa unaitaka ni ya aina hii hapa chini ???!!!!!!
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kiswahili cha pwani amejifunzia Zanzibar
   
 13. jimjamtz

  jimjamtz Senior Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mirembe pia sio pabaya kwake maana ukifikiria kikawaida kabisa,were do you think panaweza kumfit iwapo kama atapigwa chini CDM? ivi kuna uwezekano kuwa katumwa na CDM kwenda NEC walau kuextract something? Au kuna kazi ambayo angeweza kwenda kuifanya huko NEC inayohusiana na APRM? it really sucks Huh!
   
 14. Advicer

  Advicer JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Heeee!we mzma kweli?
   
 15. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  GENERAL INFORMATION
  PARTICULARS
  DETAILS
  Salutation
  Honourable
  First name
  John
  Middle Name
  Magale
  Last Name
  Shibuda
  Member Type
  Constituency Member
  Constituent
  Maswa
  Political Party
  CHADEMA
  Office Location
  P.O Box 5, Mawa
  Office Phone
  754 465 597
  Office Email
  jshibuda@parliament.g.tz
  Member Status
  Current Member
  Start date
  End date
  Date of Birth
  23 February 1950
  SCHOOL
  COURSE
  START
  END
  LEVEL
  Sayu Primary School
  Primary Edecuation
  1958
  1962
  Primary
  Makoko Seminary
  Primary Edecuation
  1962
  1966
  Primary
  Moshi Techinical School
  O Level Education
  1967
  1970
  Secondary
  EMPLOYMENT HISTORY
  COMPANY NAME
  POSITION
  FROM
  TO
  General Tyre East Africa Co Ltd
  Field Technical Product
  Observation officer
  9/1/1972
  9/30/1973
  UAC Tanzania Ltd - Machinery
  Services
  Technical Marketing Assistant
  Manager
  3/1/1978
  11/30/1978
  General Tyre East Africa Co. Ltd
  Customer Company Service Care &
  Marketing Rep.
  3/1/1974
  9/30/1976
  General Tyre East Africa Co. Ltd
  Technical Mechanical Installation
  Officer
  3/1/1971
  9/30/1971
  The Parliament of Tanzania
  Member (Maswa Constituency)
  2005
  2010
  Habit Ride Tanzania Ltd
  Director/Chairman
  2004
  Clear Channel Independent Africa
  (TZ) Ltd
  Tanzania Resident Director
  2001
  Canadian Porserve Ltd
  Resident Company
  Representative
  2/28/1993
  1997
  Tanza Intl. Agr. Inputs Ltd.
  Norway Nordox Agency
  Managing Director
  1998
  African Road Works Company
  Director of Operation
  12/1/1979
  1989
  Cooper Motors Tanzania
  Corporation Ltd
  Company Stock Verifier
  12/1/1978
  11/30/1979
  Domestic Appliances & Bicycle Co.
  Ltd
  Retail Shop Manager
  10/1/1976
  2/28/1978
  General Tyre East Africa Co. Ltd
  Technical Marketing Service
  Officer
  10/1/1973
  2/28/1974
  General Tyre East Africa Co. Ltd
  Factory Production Supervisor
  10/1/1971
  8/30/1972
  Al-Abbady Trading Company Ltd
  Business Executive Manager
  1/1/1990
  1/1/1973
  POLITICAL EXPERIENCE
  PARTY
  POST
  FROM
  TO
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Chairman - Regional Parents
  Association
  2002
  2003
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Member of National Executive
  Council (Shinyanga)
  2000
  2002
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Youth Deputy Commander -
  Shinyanga
  2000
  2003
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Development Coordinator -
  Shinyanga
  2000
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Member of National Executive
  Council (WAZAZI)
  1994
  1999
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Coordinator (Fund raising for
  strengthening CCM)
  1993
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Member - Dar es Salaam Region
  Task Force
  1991
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Member - Dar es Salaam Fund
  Raising Task Force
  1990
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Member - Dar es Salaam Youth
  Task Force
  1989
  Chama Cha Mapinduzi - CCM (Ilala)
  Coordinator of the Race for the
  Uhuru Torch
  1989
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Leader - Upanga West Branch
  1987
  To date
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Member of Upanga West National
  Council
  1987
  To date
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Member of Ilala District Political
  Committee
  1987
  1992
  Chama Cha Mapinduzi - CCM
  Member of Ilala District Council
  1987
  1992
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Shibuda ni kichaa
   
 17. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ana akili ya mwendawazimu
   
 18. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Elimu kumbe ya chekechea tu. R. I. P.
   
 19. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  cdm ivi huwa mnatumia kigezo gani kuamini mtu amevua gamba kabla ya kumpa gwanda !
  Maana nishaanza kupata wasiwasi na huo uvunaji wa hao mnaowaita magamba kwa kutumia sample ya huyu jamaa !
  Kama m1 anawasumbua ivi vipi wakichaluka 60.
   
 20. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  CV yake kumbe haipishani sana na CV ya mbunge wa Sikonge!
   
Loading...