Imekaa vizuri.......Yaliyompata sokwe na ngedere yatampata
Bure kabisa huyu jamaa. Mtu wa mpira alipigwa vita weeee akakosa.Nilitegemea huyo msomali angekuwa na jipya TFF
Pale katibu anapomuita boss wake kwenye kujieleza.Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF imemuita aliyekuwa makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura ambaye alifungiwa maisha kujihusisha na soka kwenda kujitetea kuhusu rufaa aliyoikata.