- Thread starter
- #41
Absolutely Mkuu...Watu wanashindw kutofautisha msaada na sadaka.!
Msaada sio kila mtu ajue kwamba flani amepokea msaada kutoka kwa mtu x.
Sadaka unaonekana unapoenda kutoa lakin pia mtu mwingine asijue unatoa kiasi gani, sio ile mtu anaenda kutoa sadaka ameshik msimbaz juu, sidhan kama ni sahihi.
Umenena vyema,kuna kitu cha kujifunza