Hii hali ni ya kawaida? Ni tatizo gani au ni uchawi?

Kuna nini kilichojifocha mkuu
nikikuelezea kurasa zitajaa...mbinu hiyo nilifundishwa na babu yangu...wao wanaamini kuwa kuna wanawake wana majini mahaba...{sidhani kama unajua ama unaamini hilo}...hivyo majini hayo huwa na wivu sana kupindukia upelekea mwanaume kuishiwa na nguvu kabisa...

lakini majini wengi huwa awapendi uchafu...hivyo ukiwa kwenye maandalizi ukafanya kama nilivyokuelezea hapo juu unampeperusha anabaki yeye mwenyewe mwanamke...ukiweza...muombe mechi ya mrudiano...harafu apply hiyo njia...japo ni ngumu sana kwa huyo demu kukupa tena nafasi
 
Nmejifunza kitu...
 
Back
Top Bottom