Hii hali ni ya kawaida? Ni tatizo gani au ni uchawi?

snayper

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
302
217
Kuna rafiki yangu mmoja nilimuomba anipe connection ya mtoto mzur yeyote anaemfaham ila asiwe aliewahi kudate nae maana jamaa namjua hajatulia, jamaa akanipa number, bas nikamcheck mtoto nikampanga akaeleweka, nimekuja kukutana nae nikagundua ni demu wa huyo mshikaji wangu, ikabidi nimuulize jamaa kwann alinipa number ya demu wake, akasema alitaka ampime demu wake kama ana msimamo maana alimwambia akitongozwa na mtu yeyote lazima amwambie.

Nikamuuliza kama ameshaambiwa chochote akasema hapana. Kiukweli sikuwa na hisia za kumpenda huyu manzi, ila nikaamua nimkomoe jamaa ili siku nyingine asirudie huu upuuzi, nikampanga demu tukutane lodge akakubali, mtoto amekuja lodge nikachukua chumba fresh, bas katika harakati za Show kali nikamvua nguo mtoto nikaanza kumuandaa mpaka ikafika wakati mtoto kalegea anataka machine, na mm muda huo machine iko na kasi ya 4G.

Cha ajabu nilivyoanza kuvaa kondomu tu machine ikaanza kufeli na haikusimama tenaa, fanya kila kitu wapi ikazima mazima haikusimama tena, mpaka Manzi akaamua kuondoka nikabaki lodge na taharuki Maana hii hali haijawahi kunitokea mpka nilivyorudi home ndio ikasimama tena.

Kwa wazoefu na wataalam wa psychology hii hali ni kawaida? au nilipatwa na tatizo gani? Inawezekana ikawa ni uchawi?
Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hali ya kawaida hasa pale unapokua na mwanamke ambae huna hisia nae!! Iliwai nitokea Mara moja nikajihic labda Ni tatzo ila nlipoenda na nlie na hisia nae nlikua sawa tu
 
Hii inawezekana ulipania show sana

Pia inawezekana ile "huyu demu bwana ake kicheche" ilikuwa inagonga kichwani, hivyo ikakupa hofu

Unge relux, ujipe muda.... mashine isimame upige miti, au demu ndio mwanafunzi wa style ya "ntachelewa nyumbani"

Back
Top Bottom