Bokohalamu
Member
- Mar 13, 2012
- 94
- 8
Ni hali ambayo inakutokea ukiwa umelala,macho yanaweza yakawa yanaona ila ukijarib kuvuta mkono,mguu ama kujigeuza unashindwa hata ukipiga kelele haitoki,nilitaka kujua ki-sayansi point of view na sio zile za uswahilin oh sijui jinamiz na nyingnezo!