Hii hali kuna mtu ishamtokea maana!

Ni hofu uliyonayo na unajua wewe hiyo hofu inaanzia wapi? Hakuna kitu kibaya ni hofu tu
 
Pole sana... una misi misi kama gari iliyokua na tatizo la pump...

Muombe mkeo msamaha... kwa kuchepuka...

Cc: mahondaw
 
Mkuu huenda unatuficha tu. Hutaki kutuambia ukweli, sengine mama chanja anakuvumilia tu ila ukajifanya mjanja umetafuta mchepuko sasa una aibika. Unakiona chamoto. Rudi nyumbani kumenoga😃
 
Mkuu huenda unatuficha tu. Hutaki kutuambia ukweli, sengine mama chanja anakuvumilia tu ila ukajifanya mjanja umetafuta mchepuko sasa una aibika. Unakiona chamoto. Rudi nyumbani kumenoga😃
😂😂😂🤣🤣🤣 Mkuu mama chanja anaijua shughuli yangu asee, hata huyu mchepuko siku yenyew dude limekubali kama nilivosema alifikir nimetia Viagra asee wakat hata sizijuia rangi zake asee. Mama chanja namheshim sana mkuu, basi tu kujifanya vidume.
 
Pole sana... una misi misi kama gari iliyokua na tatizo la pump...

Muombe mkeo msamaha... kwa kuchepuka...

Cc: mahondaw

Dah, nitaanzanje baharia mwenzangu, si ugomvi huo, yaani nichomoe betri huku najua Tank limejaa Petrol mkuu, kuwa serious, hapa napiga tease tu kujipa moyo 😁🙂
 
😂😂😂🤣🤣🤣 Mkuu mama chanja anaijua shughuli yangu asee, hata huyu mchepuko siku yenyew dude limekubali kama nilivosema alifikir nimetia Viagra asee wakat hata sizijuia rangi zake asee. Mama chanja namheshim sana mkuu, basi tu kujifanya vidume.
Hhaha basi kuna shida mahali inabidi uchunguze mkuu😂
 
Hiyo ni dalili ya ushoga mkuu,chukua hatua mapema
Habari za jioni wapendwa!

Aisee kuna kitu nakiona hakimo kawaida, nina msichana wa pembeni (mchepuko) mara ya kwanza nakutana naye, kitu kililala mazima, mwili ukawa kama umeishiwa nguvu, nimejaribu usiku mzima hakuna mishe asee, siku ya pili ikaamuka kidogo kama sekunde kadhaa mambo yakagoma tena, sasa nikajihisi labda uanaume wa kinondoni umeniandama, lakini nilipofika kwa mama watoto mambo yako sawa tu, nimecheza dakika 90 na magoli ya kutosha.

Nikaamua kumwendea tena mara ya tatu, siku hiyo mambo yalienda sawia tu, tena akawa anahisi labda nimekunywa viagra sababu hakuelewa siku ya kwanza na ya pili ilikuwaje, shida sasa jana nikatoka tena, hali ya kipindi kile imerudi tena yaani haisimami... miguu kama inaisha nguvu, wasiwasi sijui ni nin?

Sasa ni nin tatizo wadau, wazee wa psychology mnaweza mkanisaidia. Haijawahi kunitokea before, hili jambo limenishangaza sana.

Nawasilisha.
 
(Nleterewa nganengo...means niliomba nikapewa)
Nimependa hitimisho lako boss
Mwanasaikolojia;-
Hujiamini, una hofu, una mchecheto sana (huenda hujawahi kuvuliwa nguo na mwanamke mzuri kama huyo)

Kalumanzila;-
Huyo mchepuko ana jini mahaba (halikubali ulinyang'anye kitoweo chake)

Maandiko;-
Matokeo ya uzinzi (huenda mama watoto anamwomba sana Mungu akuepushe na michepuko sababu anajua namna wanavyoweza kusambaratisha ndoa na familia)

Wahenga;-
Huenda kuna kitu kikubwa na kibaya unaepushwa nacho (ugonjwa, kuolewa, kusambaratisha familia n.k)

Wauzaji wa Mundende;-
Una upungufu wa nguvu za kiume.

Mimi;-
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa" Mithali 6: 32.

Nb;-
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom