Hii hali kuna mtu ishamtokea maana!

Mwanasaikolojia;-
Hujiamini, una hofu, una mchecheto sana (huenda hujawahi kuvuliwa nguo na mwanamke mzuri kama huyo)

Kalumanzila;-
Huyo mchepuko ana jini mahaba (halikubali ulinyang'anye kitoweo chake)

Maandiko;-
Matokeo ya uzinzi (huenda mama watoto anamwomba sana Mungu akuepushe na michepuko sababu anajua namna wanavyoweza kusambaratisha ndoa na familia)

Wahenga;-
Huenda kuna kitu kikubwa na kibaya unaepushwa nacho (ugonjwa, kuolewa, kusambaratisha familia n.k)

Wauzaji wa Mundende;-
Una upungufu wa nguvu za kiume.

Mimi;-
"Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa" Mithali 6: 32.

Nb;-
Za kuambiwa changanya na zako.
Uko vizuri sana kwa madini Bosi.
 
Sometimes you body,kwnyw mfumo wa kujilinda inakupa ishara "this is a wrong woman" ,kaa nae mbali,ukiforce sawa.
Najikuta ninakubali comment yako mkuu. Hali hiyo ilishanitokea huko nyuma kwa watu tofauti mie!

Na wote nilivyowafuatilia background zao, wote ni harrots, wanangoma na wakunywa dawa.

walitaka kunisambazia grid makusudi kwa kupenda kwangu kavu kavu kuliko hata chakula.
 
Tupe experience pale unapochepuka na mwingine tofauti na huyu wa kishua
Hahahaha ebhana, mim huwa sichepuki ovyo ovyo, ila huyu aliniteka asee, na ile siku nimepiga naye show, alikubali mwenyew. Itabid nijaribu kwa mwingine asee, isije nikawa nimefungwa
 
Kama unangonokea kwenye geto lahuyo demu mwambie atungue hizo suruali zakiume alizozitundika nyuma yamlango mkuu kama inawezekana azitupie chini yauvungu
 
Kama unangonokea kwenye geto lahuyo demu mwambie atungue hizo suruali zakiume alizozitundika nyuma yamlango mkuu kama inawezekana azitupie chini yauvungu

Hahahaha nimechungulia sana hilo geto asee, sijaona vitu vya kiume, kama ameficha sijui atakuwa kaficha wapi asee...
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom