Hii hali imekuwa Tight kiuchumi imetusaidia sana. Mbwa sasa hivi Wanaramba Reli

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
wadau kiukweli hii hali ya uchumi ni kufa kufaana. imesaidia sana wale mademu waliokuwa wanazingua sana zamani ... aaahh.. sasa wamekuwa wepesi kama unyoya tu.yaani kama upo fresh kila siku unaweza ukawa una gonga mmoja mmoja mpaka mwaka uishe zaidi ya 300.

nimekutana na demu mmoja zamani alikuwa yuko matawi ya juu sana anazunguka tu kwnye gari range ...sasa nmekutana naye jana anaendesha rav 4 tena yeye ndo alisimamisha gari kunisalimu kwa bashasha sana na kunilaumu siku hizi sipatikani,nmepotea na maneno mengi sana.nikamwambia mi nipo nimejaa tele basi haraka haraka akanambia niandike namba yake ya simu.nikaandika.leo asubuh hii kanipigia.eti mchana napata wapi lunch tuonane.aiseee...

mtaani heshima ipo. hawa mabint ukimtizama kidogo tu anatabasamu na kukusalimia kwa bashasha "mambo!" jamaa aendelee kukaza nati inawezekana huko mbeleni sis wanaume tukagombaniwa sana na ikatusaidia maana tutakuwa hatuhongi hivyo tutajenga na kusaidia familia zetu.

ukisikia mbwa anaramba reli ndo hii..serious kabisa hali imewabana na chup zimewapwaya sana so hata haisumbui kuzishusha... ikiisha miaka 3 naaamini tutakuwa tunaheshimiana sana huko mitaani kila ambaye atakuwa amebaki dar atakuwa ana heshima. na hawa madada hawa walikuwa wao wanaona kuwa wameshawin sasa wanarudi hadi kwetu kwa akina pangu pakavu tia mchuzi.
 
Tatzo kuna watu mmebaki kwenye roli wengne tulishukia kibiti, subilini mpelekwb magogoni
 
acha uongo.... yaani we uko na TZ 11 yako akusimamishie gari wkt anajua choka mbaya... jipe moyo tu, huwabandui kirahisi hvyo na uapecha alolo wako. fanya kazi acha kuwaza yasiowezekana
Msindikizaji naomba na mimi niunge tea basi..
 
Usishabikie sana hali ya maisha kuwa ngumu kwani mwisho wa siku madhara yake ni makubwa..
kwa inawezekana unaona huathiriki kwa kuwa mwisho wa mwezi account inasoma lakini itafiki mahali hiyo hela unayopata mwisho wa mwezi haitoshi hata kula na ada za wanao shuleni zikakushinda..
Ujumbe maridhawa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom