Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,761
- 2,311
Hahaa
😆😆😆😆Mkuu hebu fafanua hapa. Naona sijakuelewa
Wasabato mna tabu sanaNiseme tu ukweli kwamba kiasi fulani nakereka na hii imani ya kuchorana chorana na majivu kwa hii siku inaitwa Jumatano ya majivu.
Hebu nieleweshwe labda nikielewa ntaiona sawa..
=======
UPDATES:
IFAHAMU JUMATANO YA MAJIVU
UTANGULIZI
Jumatano ya majivu ni mwanzo wa kipindi cha kwaresima katika kanisa. Ni ishara ya kuanza kwa siku arobaini za kutafakari kwa undani fumbo kuu la upendo wa Mungu linalofunuliwa kwa kujitoa kwake na kufa msalabani, kifo cha aibu ili kuichukua aibu yetu. Mama kanisa anatupatia kipindi hiki ili tuweze kutafakari njia na mienendo yetu.
KWA NINI TUNAPAKWA MAJIVU?
Majivu ni ishara ya majuto, nayo hufanywa visakramenti kwa kubarikiwa na kanisa. Tunapopakwa majivu katika paji la uso hutusaidia kutafakari na kutukumbusha kuwa wanadamu sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi. Hutukumbusha zaidi kuwa maisha ya hapa duniani tunapita na safari yetu itakamilika pale tutakapoungana na Bwana na mwokozi wetu katika ufalme wako.
Angalia; Isaya 61:3, Ester 4:1-3, Yeremia 6:26, Ezekieli 27:30, Mathayo 11:21 na Luka 10:13
KWA NINI MAJIVU YAPAKWE KATIKA PAJI LA USO NA SI PENGINEPO?
Ishara yoyote iwekwayo katika paji la uso huonesha umiliki (soma Ufunuo 7:3, Ufunuo 9:4, Ufunuo 14:1, Ezekieli 9:4-6, ). Tunapochorwa ishara ya msalaba katika paji la uso ni ishara kwamba sisi tupo chini yake yeye aliyekufa msalabani kwa ajili yetu.
Hali kadhalika hutukumbusha ishara ya msalaba tuliyochorwa na mafuta matakatifu siku ya ubatizo wetu, hutukumbusha ahadi tuliyoiweka siku hiyo ya ubatizo na kutuita tuishi maisha ya utakatifu
MANENO ANAYOTAMKA PADRE YANA MAANA GANI?
Tunapopakwa majivu Padre husema; Mwanadamu kumbuka u mavumbi na mavumbini utarudi AU Tubuni na kuiamini Injili.
Maneno haya kwa upande mmoja hutukumbusha tunapoelekea, tusisikitike kwamba siku moja tutarudi mavumbini bali tuwe na furaha kwani wakati miili yetu unarudi mavumbini roho zetu zitakwenda kuungana na Mungu Baba mbinguni.
Hivyo maandalizi tunayoalikwa kuyafanaya si maandalizi ya kuelekea mavumbini bali maandalizi ya kuelekeza roho zetu mbinguni. Ndio maana pia twaambiwa tubuni na kuiamini Injili.
MAJIVU HUTOKA WAPI?
Majivu tunayopakwa hutoka katika matawi yaliyotumika katika jumapili ya matawi ya mwaka jana. Majivu haya hubarikiwa na kuwa visakramenti. Hivyo majivu yanapoashiria toba na majuto pia hutukumbusha wema wa Mungu na utayari wake wa kutusamehe.
KWA NINI TUNATUMIA MATAWI YA JUMAPILI YA MATAWI?
Matawi haya yalimkaribisha Yesu Yerusalemu akiwa tayari kufa kwa ajili ya dhambi zetu, yalimpokea mfalme kwa furaha na shangwe kuu. Matawi haya yanapochomwa na sisi kupakwa majivu yetu yanatukumbusha kuwa ni kwa ajili ya dhambi zetu Mungu alimtoa mwanae wa pekee kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu sisi wanaadamu. Hivyo hututafakarisha kuacha dhambi.
KANISA LIMEKATAZA NINI SIKU YA JUMATANO YA MAJIVU?
Tumekatazwa kula chakula siku ya Jumatano ya Majivu na kula nyama siku ya Ijumaa Kuu katika Amri ya Pili ya Kanisa.
NANI ANALAZIMA KUFUNGA SIKU YA JUMATANO YA MAJIVU NA KWARESMA?
Kila Mkristo aliyetimiza miaka 14 na zaidi anapaswa kufunga kula nyama (Ijumaa kuu) na mwenye miaka zaidi ya 21 kufunga chakula Jumatano ya Majivu
TUNAPOSEMA KUJINYIMA WAKATI WA KWARESMA TUNAMAANA GANI?
Kujinyima ni kujikatalia kitu ukipendacho mfano nyama, pombe, sigara, muziki, safari, maongezi n.k.
MWISHO
Wakati wa Kwaresma Waamini wanapaswa kujitakasa zaidi kwa kusali, kufunga, toba na matendo mema
Kipindi cha Kwaresima ni fursa makini ya kumkimbilia Mwenyezi Mungu, kwani kwa njia ya dhambi wamejikuta wakiwa mbali na Uso wa huruma ya Mungu, kiasi hata cha kupoteza imani na matumaini kwa Mwenyezi Mungu. Hii ni changamoto ya kumpenda Mungu na jirani badala ya kukumbatia malimwengu yanayoendelea kuwatumbukiza katika utupu wa maisha ya kiroho. Kwaresima ni kipindi cha waamini kukimbilia na kuambata huruma ya Mungu inayoganga na kuponya dhambi. Ni wakati wa sala, upendo na kufunga.
Kwani ninyi mnavyoulizwa kwamba mtume wenu kitendo alichokifanya cha kuoa katoto kadogo(bi aisha) kakiwa na miaka 6 kwa Sheria za Tanzania mtume wenu angekumbwa na kosa gani mahakamani, huwa mnasema nini?Wakristo hawana uvumilivu kabisa kwenye kuuulizwa swali, huishiwaga hoja mapema mno na kukimbikia matusi, yaaan ni jins gani inavyojidhihilisha kwamba ndugu zetu wako weupe kwenye hii dini.
Ni wachache sana wanauelewa, lakini waliobakia empty
maswali yako yamejengeka kwenye misingi potofu.Wazee tuwekane wazii wazee mbona kwenye hiii biblia hakuna sehem ambayo Yesu ameingia kanisani na je kama lipo hilo andiko aliingia dheheb ganiii wazee na pili dini ya Ukristo ipo sehem kwenye biblia
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mbona wazungu hawapakai majivu, hata kanisani hawaendi!!! Yaani kabisa kabisa hawana time na kanisa!Niseme tu ukweli kwamba kiasi fulani nakereka na hii imani ya kuchorana chorana na majivu kwa hii siku inaitwa Jumatano ya majivu.
Hebu nieleweshwe labda nikielewa ntaiona sawa..
=======
UPDATES:
IFAHAMU JUMATANO YA MAJIVU
UTANGULIZI
Jumatano ya majivu ni mwanzo wa kipindi cha kwaresima katika kanisa. Ni ishara ya kuanza kwa siku arobaini za kutafakari kwa undani fumbo kuu la upendo wa Mungu linalofunuliwa kwa kujitoa kwake na kufa msalabani, kifo cha aibu ili kuichukua aibu yetu. Mama kanisa anatupatia kipindi hiki ili tuweze kutafakari njia na mienendo yetu.
KWA NINI TUNAPAKWA MAJIVU?
Majivu ni ishara ya majuto, nayo hufanywa visakramenti kwa kubarikiwa na kanisa. Tunapopakwa majivu katika paji la uso hutusaidia kutafakari na kutukumbusha kuwa wanadamu sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi. Hutukumbusha zaidi kuwa maisha ya hapa duniani tunapita na safari yetu itakamilika pale tutakapoungana na Bwana na mwokozi wetu katika ufalme wako.
Angalia; Isaya 61:3, Ester 4:1-3, Yeremia 6:26, Ezekieli 27:30, Mathayo 11:21 na Luka 10:13
KWA NINI MAJIVU YAPAKWE KATIKA PAJI LA USO NA SI PENGINEPO?
Ishara yoyote iwekwayo katika paji la uso huonesha umiliki (soma Ufunuo 7:3, Ufunuo 9:4, Ufunuo 14:1, Ezekieli 9:4-6, ). Tunapochorwa ishara ya msalaba katika paji la uso ni ishara kwamba sisi tupo chini yake yeye aliyekufa msalabani kwa ajili yetu.
Hali kadhalika hutukumbusha ishara ya msalaba tuliyochorwa na mafuta matakatifu siku ya ubatizo wetu, hutukumbusha ahadi tuliyoiweka siku hiyo ya ubatizo na kutuita tuishi maisha ya utakatifu
MANENO ANAYOTAMKA PADRE YANA MAANA GANI?
Tunapopakwa majivu Padre husema; Mwanadamu kumbuka u mavumbi na mavumbini utarudi AU Tubuni na kuiamini Injili.
Maneno haya kwa upande mmoja hutukumbusha tunapoelekea, tusisikitike kwamba siku moja tutarudi mavumbini bali tuwe na furaha kwani wakati miili yetu unarudi mavumbini roho zetu zitakwenda kuungana na Mungu Baba mbinguni.
Hivyo maandalizi tunayoalikwa kuyafanaya si maandalizi ya kuelekea mavumbini bali maandalizi ya kuelekeza roho zetu mbinguni. Ndio maana pia twaambiwa tubuni na kuiamini Injili.
MAJIVU HUTOKA WAPI?
Majivu tunayopakwa hutoka katika matawi yaliyotumika katika jumapili ya matawi ya mwaka jana. Majivu haya hubarikiwa na kuwa visakramenti. Hivyo majivu yanapoashiria toba na majuto pia hutukumbusha wema wa Mungu na utayari wake wa kutusamehe.
KWA NINI TUNATUMIA MATAWI YA JUMAPILI YA MATAWI?
Matawi haya yalimkaribisha Yesu Yerusalemu akiwa tayari kufa kwa ajili ya dhambi zetu, yalimpokea mfalme kwa furaha na shangwe kuu. Matawi haya yanapochomwa na sisi kupakwa majivu yetu yanatukumbusha kuwa ni kwa ajili ya dhambi zetu Mungu alimtoa mwanae wa pekee kufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu sisi wanaadamu. Hivyo hututafakarisha kuacha dhambi.
KANISA LIMEKATAZA NINI SIKU YA JUMATANO YA MAJIVU?
Tumekatazwa kula chakula siku ya Jumatano ya Majivu na kula nyama siku ya Ijumaa Kuu katika Amri ya Pili ya Kanisa.
NANI ANALAZIMA KUFUNGA SIKU YA JUMATANO YA MAJIVU NA KWARESMA?
Kila Mkristo aliyetimiza miaka 14 na zaidi anapaswa kufunga kula nyama (Ijumaa kuu) na mwenye miaka zaidi ya 21 kufunga chakula Jumatano ya Majivu
TUNAPOSEMA KUJINYIMA WAKATI WA KWARESMA TUNAMAANA GANI?
Kujinyima ni kujikatalia kitu ukipendacho mfano nyama, pombe, sigara, muziki, safari, maongezi n.k.
MWISHO
Wakati wa Kwaresma Waamini wanapaswa kujitakasa zaidi kwa kusali, kufunga, toba na matendo mema
Kipindi cha Kwaresima ni fursa makini ya kumkimbilia Mwenyezi Mungu, kwani kwa njia ya dhambi wamejikuta wakiwa mbali na Uso wa huruma ya Mungu, kiasi hata cha kupoteza imani na matumaini kwa Mwenyezi Mungu. Hii ni changamoto ya kumpenda Mungu na jirani badala ya kukumbatia malimwengu yanayoendelea kuwatumbukiza katika utupu wa maisha ya kiroho. Kwaresima ni kipindi cha waamini kukimbilia na kuambata huruma ya Mungu inayoganga na kuponya dhambi. Ni wakati wa sala, upendo na kufunga.
Mnajipaka wenyewe? au Padri anawapaka?Tunajipaka kwa sababu hayajakatazwa kujipaka.
Hili jibu ni dhahiri tosha! hakuna uelewa halisi wa swali, na hamfahamu jibu lake!Tunajipaka kwa sababu hayajakatazwa kujipaka.
Mtoa mada anahitaji jibu!Pilipili usiyo ila yakuwasha nini? Wewe kachukue hiyo Biblia yako ikuongoze. Imani za watu waachie wenyewe.
Jibu swali tafadhali....Inakuhusu nini hadi ukereke ww....??pilipili usoila babu....yakuwashiani? ?
Yaaniii nililia sana Ipo siku niliona kwenye Tv Roma Italy Ipo sehemu kuna uwanja mkubwa na kuna kanisa kubwa sana na ndani ya hilo kanisa ulifunguliwa mlango mkubwa akatoka Pop akasalimia watu waliokuwa nje kwenye uwanja mkubwa. Ndani ya kanisa walikuwepo Watoto wadogo wa kiume wengi rika lao baina ya miaka tuseme 9-12 hivi.... wapo kwa ndani kwenye hilo kanisa kubwa halafu Pop alipomaliza kusalimia watu akafunga mlango na watoto wapo ndani! watu waliokuwepo nje kwenye hilo eneo la Kanisa wote walishangaa kwa sauti! Nilijiuliza sana kuhusu watoto wale wa KiumeMungu yupi atakaemuadhibu?? Mungu wa Papa as naeongoza makasisi wanaowaingilia watoto na kusabisha Pope kuomba msamaha kila mara??
Hivi unajua hata hao Wazungu hawaendi kanisani? Yaani hawaendi jamani.... hawana time kabisa na kanisa na cha kushangaza zaidi wengi wao hata hawaamini MUNGU! wanasema hii yote ni NATURE tu! Hakuna MUNGU!Namuunga mkono aliyesema ukristu utaisha. Ukristu umesukwa kiujanjaujanja na wazungu, wakatuletea waafrika eti tufunge Macho kwa kusali ili watunyonye. Maadamu siamini katika ufufuko nipo huru kukiamini ninachokijua kwa roho yangu. Kama imani yangu ni mlima Kilimanjaro basi nitafika kwa muumba kwa imani yangu. Ole wao waliozoea kula kwa kutumia ukristu kwani nyakati za ukristu zinakaribia ukingoni
Ni kweli kabisa! Yesu ni Myahudi kwao Israel, na Wayahudi Wanasali kwenye Sinagogi, Kanisani akatafute nini? hakuwahi kuacha kanisa wala hakuwahi kuanzisha kanisa.Yesu hakuacha kanisa wala hakuwahi kuanzisha kanisa, hivyo ni uwongo uliokithiri kudai kwamba Roma ndio kanisa mama aliloacha Yesu, in short Waroma/Wakatoliki ni mwendelezo wa dini ya Mafalsayo na masadukayo ,dini zile za mapokeo ya asili ambayo ndio waliokuwa wakimpinga saana Yesu hadi wakamuua na wakatunga uwongo kwamba hakufufuka bali aliibiwa mwili wake kabirini. Ukatoliki ni ka mfumo tu kaliko kinyume na Yesu / Mungu Ila kamejificha ficha ktk baadhi ya maandiko