Hii habari ya Jumatano ya Majivu asili yake ni nini!?

Utaratibu wa kupakana majivu ni utaratibu wa dhehebu na wala hauna uhusiano na Ukristo maaana kwenye Biblia hakuna sehemu yoyote ambayo mtu yeyote alipakwa majivu.
Japo imewekwa kama ishara ya kwamba binadamu wote ni mavumbi na mavumbini watarudi, swali la kujiuliza ni je, majivu ni vumbi au mavumbi yanatokana na udongo?

Bila shaka hakuna uhusiano wowote kati ya majivu na Ukristo.
Biblia huijui na biblia yenyewe imeandaliwa na wakatoliki Sasa kama umeshawahi andaa biblia yako uje utueleze mafundisho yako
 
hakuna ulichojibu mbona? 1,2,3
Duh rafiki yangu hujui kusoma..... Nilicho kuuliza ndio jibu lako... Kama utaweza kujibu ishara na alama maana yake n nn au unaelewa nn kuhusu hivyo bac ushapata jibu acha ushamba ndugu yangu kama hujui unasema sijui na kama unamjua mungu wako na mungu wa watu wengine utupe Sifa za huyo mungu wako ili tujue kama tupo tofauti au sawa
 
Hebu niambie nifanyeje Sasa ujue wasabato nyie ni mafarisayo biblia hamuijui Zaid ya vitabu vya Ellen g white nyie mlimsulubisha yesu
kijana mimi sio msabato, nishasema before imani ya kisabato ni imani potofu wala sijawahi soma kitabu ha huyo mbibi tapeli wa kiimani bibi G White.
 
Namuunga mkono aliyesema ukristu utaisha. Ukristu umesukwa kiujanjaujanja na wazungu, wakatuletea waafrika eti tufunge Macho kwa kusali ili watunyonye. Maadamu siamini katika ufufuko nipo huru kukiamini ninachokijua kwa roho yangu. Kama imani yangu ni mlima Kilimanjaro basi nitafika kwa muumba kwa imani yangu. Ole wao waliozoea kula kwa kutumia ukristu kwani nyakati za ukristu zinakaribia ukingoni
 
Biblia huijui na biblia yenyewe imeandaliwa na wakatoliki Sasa kama umeshawahi andaa biblia yako uje utueleze mafundisho yako
1st no where does it say in the Bible that Mary is the Mother of God. 2nd,there are no real images of Christ or Mary, and paganism pre-dates Christ birth where statutes and idols were made for worship. 3th, those images of “Mary & Jesus” are found in all religions, why is that? Because the origin was from Tammuz and his mother,Semiramis which are Old Testament way before Christ was born. You can look that up yourself. 4th, No where in the bible does it say Mary is the “Queen of Heaven”. That is from the Catholic church when they combined pagan practices with the true bible corrupting the true words and practices of the bible. Look up the history yourself. 5th, why would the bible old testament say that the queen of heaven the Jews of the bible were worshiping was an idol an that they should stop worshiping it or face destruction then years later the Catholic church and many others claim Mary is ” the queen of heaven?” Also,Semiramis the mother of Tammuz after see declared her and her “reincarnated” son to be worshiped as gods, guess what they called her ” The Queen of Heaven. Mary is the physical mother of Christ but she is not the mother of God. Those are modern day Christian teachings. You can refuse to believe but the bible stands true above everything else else no matter what you were taught. Everything you were taught in modern day religion opposes the bible. The articles show that clearly.
 
1st no where does it say in the Bible that Mary is the Mother of God. 2nd,there are no real images of Christ or Mary, and paganism pre-dates Christ birth where statutes and idols were made for worship. 3th, those images of “Mary & Jesus” are found in all religions, why is that? Because the origin was from Tammuz and his mother,Semiramis which are Old Testament way before Christ was born. You can look that up yourself. 4th, No where in the bible does it say Mary is the “Queen of Heaven”. That is from the Catholic church when they combined pagan practices with the true bible corrupting the true words and practices of the bible. Look up the history yourself. 6th, why would the bible old testament say that the queen of heaven the Jews of the bible were worshiping was an idol an that they should stop worshiping it or face destruction then years later the Catholic church and many others claim Mary is ” the queen of heaven?” Also,Semiramis the mother of Tammuz after see declared her and her “reincarnated” son to be worshiped as gods, guess what they called her ” The Queen of Heaven. Mary is the physical mother of Christ but she is not the mother of God. Those are modern day Christian teachings. You can refuse to believe but the bible stands true above everything else else no matter what you were taught. Everything you were taught in modern day religion opposes the bible. The articles show that clearly.
Ndo maana nimekwambia we endelea na mafundisho ya tumuzi kupitia kuhani wake mkuu Ellen g white
 
Hujui kuwa pia Biblia ni Mapokeo pia...???

Hebu msome St. Paul hapa..

2 Wathesalonike 2:15
Basi, ndugu, simameni imara, mkayashike mapokeo mliyopewa , ama kwa maneno, ama kwa waraka wetu.
Wafarisayo hawawezi kukuelewa ni wapagani na walimsulubisha masiha
 
Wewe ni msabato usipinge
Dawa imekukolea mpaka unanipangia dini? Pole sana Wewe mromani na msabato hamna tofauti yoyote maana wote mpo katika imani potovu. Yeyote anae force maandika au anae badili maandiko kwa manufaa yake binafsi ni mbaya kuliko mpagani, siwezi kuwa kanisa la Roma, Sabato, Jehovah witness wala imani nyingine za nama hiyo.
 
Kila mtu abaki na imani yake.Mimi binafsi ni mkristu na ninaamini katika ukristu wangu.HEBU NIWAKUMBUSHE.Mnakukumbuka Yesu alivyoulizwa kuhusu torati ya Musa alijibu nini?Alijibu kwamba "Hakuja kuitengua torati ya Musa" bali alikuja "KUITIMILIZA".(NA KATIKA MAFUNDISHO YAKE,YESU ALISEMA "IMANI YAKO NDIO ITAKAYO KUPONYA".KILA MTU ABAKI NA ANACHOKIAMINI.MAANA HATA MTU AKUELEWESHE VIPI KUHUSU JAMBO,KAMA TAYARI UNAYO IMANI UNAYOIAMINI,HAUTAWEZA KUSADIKI ATAKACHOKUELEZA.KUMBUKENI TU IMANI,IMANI,IMANI NDIYO ITAKAYOTUPONYA!
 
KWANI MAVUMBI ALIOUMBIWA BINAADAMU NDIO MAJIVU YA MATAWI??.

Mavumbi ktk biblia sio majivu bali ni vumbi la udongo,,huenda viwili hivi vinamaana sawa kilugha lakini ni vitu viwili vyenye asili tofauti.
majivu ni matokeo ya kilichomwa na vumbi la udongo ni linatokana mmeng'enyo,au mmomonyo wa aina mbalimbali na sio moto pekeyake.
My take;kuhusisha majivu ambayo yameteketezwa kwa moto kunakitu kinafichwa.
 
Kiukweli kabisa mimi ni mkatoliki ila hizi mila na desturi za kanisa zinanitatiza sana!
 
Sisi wakatoliki tunafata maandiko ya kwenye biblia na mapokeo. Kama ambavyo nyumban kwenu mna style ya kula chakula na ndivyo wakatoliki tuna njia zetu za kuabudu.

Kanisa katoliki kweli ni kanisa mama maana yapo makanisa mengine ambayo pia hupakwa majivu siku ya jumatano ya majivu tofauti na orthodox ambao kipindi chao cha kwaresma sio sasa lakini fujo, kelele na masimango zinaelekezwa kwa wakatoliki
 
Kiukweli kabisa mimi ni mkatoliki ila hizi mila na desturi za kanisa zinanitatiza sana!
Kama ni mkatoliki kweli kama unavyosema ina maana umebatizwa, umepokea Ekaristi ya kwanza, Kipaimara labda na ndoa. Sakramenti zote hizo ukiondoa ya ubatizo kama ulibatizwa utotoni hua zinatolewa na mafundisho.

Kila kitu kinafundishwa itakua ni ajabu uliacha kumuuliza Katekista ulivyokua mafundisho unabakia kua na utata
 
Kila mtu abaki na imani yake.Mimi binafsi ni mkristu na ninaamini katika ukristu wangu.HEBU NIWAKUMBUSHE.Mnakukumbuka Yesu alivyoulizwa kuhusu torati ya Musa alijibu nini?Alijibu kwamba "Hakuja kuitengua torati ya Musa" bali alikuja "KUITIMILIZA".(NA KATIKA MAFUNDISHO YAKE,YESU ALISEMA "IMANI YAKO NDIO ITAKAYO KUPONYA".KILA MTU ABAKI NA ANACHOKIAMINI.MAANA HATA MTU AKUELEWESHE VIPI KUHUSU JAMBO,KAMA TAYARI UNAYO IMANI UNAYOIAMINI,HAUTAWEZA KUSADIKI ATAKACHOKUELEZA.KUMBUKENI TU IMANI,IMANI,IMANI NDIYO ITAKAYOTUPONYA!
Usivuruge maandiko ili kuuridhisha uchache wa ufahamu wako, yesu hakumanisha kila MTU afuate imani yake kwa maana kwamba kila utakachoamua kukiamini kaka.
 
Yesu hakuacha kanisa wala hakuwahi kuanzisha kanisa, hivyo ni uwongo uliokithiri kudai kwamba Roma ndio kanisa mama aliloacha Yesu, in short Waroma/Wakatoliki ni mwendelezo wa dini ya Mafalsayo na masadukayo ,dini zile za mapokeo ya asili ambayo ndio waliokuwa wakimpinga saana Yesu hadi wakamuua na wakatunga uwongo kwamba hakufufuka bali aliibiwa mwili wake kabirini. Ukatoliki ni ka mfumo tu kaliko kinyume na Yesu / Mungu Ila kamejificha ficha ktk baadhi ya maandiko
 
Back
Top Bottom