Nina gari ndogo ya kutembelea, gari hii ilianza kuwa nzito yaani ukiwa D lazima ukanyage mafuta ndio iondoke na vilevile ukiwa kwenye mpando inaishiwa nguvu na kuchemsha, nilienda kwa fundi akaniambia tatizo ni pampu nikabadilisha lakini tatizo likabaki pale pale nikaenda kwa mwingine akaniambia oil ya gearbox na engine nikabadilisha lakini tatizo likawa pale pale, mwingine akaniambia ni gearbox mbovu ninunue nyingine, nimenunua gearbox nimefunga lakini tatizo halijaisha.
Naona hii gari itanifilisi na hawa mafundi wapiga ramli, kwa wajuzi wa magari hii gari inaweza kuwa na shida gani?
NB: gari ni la mwaka 2000 halina port za kupimia.
Naona hii gari itanifilisi na hawa mafundi wapiga ramli, kwa wajuzi wa magari hii gari inaweza kuwa na shida gani?
NB: gari ni la mwaka 2000 halina port za kupimia.