Hii game nimeipenda sana nani atakuwa na cheats zake

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,502
23,685
ni moja ya game nzuri za snipers ambayo nimeipenda. inaitwa contract killer sniper nachezea kwenye simu. tatizo inataka hatua nyingine ninunue silaha kali ambazo mimi sina pesa maana kuna silaha hadi tsh 100,000 ukiacha kununua diamond/golds ambazobei ya chini kabisa ni tsh 11,000.

nani anafaham cheats zake please anisaidie kwa android phone.
 
Game za android haziwagi na cheat Bali huwa zipo ambazo moded yaan unakuta isha hakiwa ina coin kila kitu
 
ni moja ya game nzuri za snipers ambayo nimeipenda. inaitwa contract killer sniper nachezea kwenye simu. tatizo inataka hatua nyingine ninunue silaha kali ambazo mimi sina pesa maana kuna silaha hadi tsh 100,000 ukiacha kununua diamond/golds ambazobei ya chini kabisa ni tsh 11,000.

nani anafaham cheats zake please anisaidie kwa android phone.
Nicheki 0625672871 WhatsApp nikupe lilo hackiwa unlimited coin gold
 
Visit link hii uone jinsi ya kutumia lucky patcher bila ROOT
Na pia Kama ume ROOT tumia application kama
  • Game killer
  • Lucky patcher
  • G2G(game guardain)
  • Freedom
  • Gamecih
If iyo game ni online tumia
  • Game killer
  • Game guardian (recommended)
But online hack tumia unapo pata ile hela sio wakati zinakuwa stored bcz zinakuwa acquired offline (kwenye simu) nakutumwa kwenye servers......

NOTE: if online be careful bcz utakuwa banned but siyo game company zote but kama ni game ya sniper android usihofu unless ni ya Gameloft (sniper fury) au Hitman 47 so Kama no hizo tafuta MOD.....Byeo_O
 
ni moja ya game nzuri za snipers ambayo nimeipenda. inaitwa contract killer sniper nachezea kwenye simu. tatizo inataka hatua nyingine ninunue silaha kali ambazo mimi sina pesa maana kuna silaha hadi tsh 100,000 ukiacha kununua diamond/golds ambazobei ya chini kabisa ni tsh 11,000.

nani anafaham cheats zake please anisaidie kwa android phone.
Mwenyewe nalicheza nimenunua silaha zote na coin ziko zakutosha
 
Back
Top Bottom