HII FOUL APIGE NANI??NA KWA NINI??

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Yupo fundi Pirlo,Beckam knyama and undiapited Gaucho.
Screenshot_20180819-145544.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dinho mtu mbaya.

Zidane alimpiga kanzu Dinho. Dinho akamvutia subra Zidane akamuingia jamaa kwenye chaki ya mpira kutoka, akaveshwa kanzu na tobo safi kabisa.

Dinho piga faulo.
Ile kanzu Dinho aliitoa yaani kavishwa halafu yeye akaiwahi akanyanyua mguu kwa nyuma akarudisha mpira kwa mbele. Delima yeye alivishwa na Zizou kabisa.
 
Die hard fan wa Dinho ila hapo namuacha Muingereza huyu. Becks, maliza tu baba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom