Hii form ya Manchester City wangekuwa nayo Manchester United tungekoma!

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,031
Hivi mnakumbuka wakati ligi inaanza?

Man untd walianza kwa kila aina ya mbwembwe na kujipa majina kama wazee wa 4g na mengineo..

Enzi hizo striker wao Lukaku anafunga balaa, wakaanza kuwatukana kina Morata na wengineo waliowakosa kwenye usajili

Mwisho wa siku wakaanza kula kipondo, watu wanajipigia tuu, mara ghafla lukaku wao akageuka LIKUKU..

Najaribu kuwaza hapa hivi hawa Man untd wangecheza mechi 15 mfulululizo bila kufungwa hata mechi 1 kama Man city hata hii J.F si tungeiona ya moto, tungeweka wapi nyuso zetu kwa mbwembwe zao zile...?
 
Wanaongeaa mno kupita maelezo bora wacha wapuyange make mitaa tusingelipita
 
Tatizo lao ni moja tu wanaongea mno,halafu wanaongea bila fact,yaani sie ambao tunaishi kwenye nyumba za kupanga kuwa na jirani wa Man U ni msiba mkubwa mno.
Mtaani ni heshima sahizi
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom