Hii Fence ya Kilimo kwanza Dodoma ni ya Nani?

mkolosai

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,572
2,000
Wadau ukifika Dodoma Kabla hujaingia mjini kuna ghorofa la Kilimo kwanza huwa wanauza matrekta, naombeni kujuzwa kuhusu hii fence mmiliki wake ni nani maana ipo ndani ya hifadhi ya barabara. Bikoni zote mbili zinaonyesha jamaa wamevamia barabara.

Awali hii fence ilikuwa ya tofari na iliwekewa alama ya X na maneno kuwa BOMOA. Baadae ikapigwa rangi nyeupe ili kufuta yale maneno. Siku zilivyoenda ikavunjwa na kubadilishwa kuwa fence ya nondo ambayo hata ukiandika neno Bomoa halionekani. Sasa swali mheshimiwa Rais ama watendaji wako hawaioni hii fence kuwa ipo ndani ya hifadhi ya barabara?
Na je ina maana kuna mtu yeyote yupo juu ya maagizo yako mheshimiwa Rais ama hata sheria za nchi kuwa ujenzi ndani ya hifadhi za barabara ni marufuku? Nawasilisha
 
Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,484

We inakuhusu nini? Fanya yako
 
Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,484
2,000
Kama ungekuwa umebomolewa nyumba ungeona hii double standard inavyotuumiza wengine, lakini kwa kuwa hujakutwa na huo mkasa jibu utakavyo
Hata ikulu nayo iko pembezoni mwa barabara pale feri,waambie tanroads wakabomoe!
 
wanan

Senior Member
May 11, 2011
141
225
Una kihelehele imefunga barabara? viongozi wote wanapita hapo hawana macho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom