Hii Fastjet bora ife tu

Nimechelewa dak 1 tu check in wamenizuia kabisa pamoja na kubembeleza kote kule halafu naenda kusogeza tiketi mbele wanadai 255 Ikabidi nikakate air Tanzania tiketi mpya kwa 230
Bora ufe ww 2. Fastjet imetoa Ajira kwa watanzania wengi. Ww umetoa Ajira kwa watanzania wangap...?
 
Kuna siku mimi nilifika kwa kuchelewa sekunde kadhaa. Nikasikia wanaambiana mcheck in haraka kabla system haijahamishwa. Na aliyekuwa nyuma yangu hakufanikiwa. So usiwalaumu muda ukipita uwezo wa system zao kucheck in unaondolewa.
 
😂😂😂Wanatuchekaga sis wa mikoani tunavo wai stendi saa kumi asubui ili Rungwe exp isituache..nazan kwa upande wa ndege kabla ya masaa5 ndege kuondoka ningekuw nmeshafika airport na familia nzima tuagane vzr..Kuchelewachelewa only happen kwa Dar hombres japo wanajdai wanenda na mdaa....Bhakufyundile na ukubhilwe .Go fastjet gooo!!
 
Hivi kufanya malipo air tanzania baada ya booking online inakuwaje kwa aliyewahi kutumia hii huduma
 
Nimechelewa dak 1 tu check in wamenizuia kabisa pamoja na kubembeleza kote kule halafu naenda kusogeza tiketi mbele wanadai 255 Ikabidi nikakate air Tanzania tiketi mpya kwa 230
Uzembe
 
Ilishanikuta hiyo naenda Mwanza, nilichelewa dakika takribani tatu, wakagoma kata kata.Tena yule jamaa akanijibu jibu aliloandika mdau hapo juu, eti ndege sio basi. Roho iliniuma mpaka basi.
 
😂😂😂Wanatuchekaga sis wa mikoani tunavo wai stendi saa kumi asubui ili Rungwe exp isituache..nazan kwa upande wa ndege kabla ya masaa5 ndege kuondoka ningekuw nmeshafika airport na familia nzima tuagane vzr..Kuchelewachelewa only happen kwa Dar hombres japo wanajdai wanenda na mdaa....Bhakufyundile na ukubhilwe .Go fastjet gooo!!
angalau umeleta chakula ya akili. humu kuna kahawa, tangazo la biashara, majivuno kwa wenye 'expensive house, nice car' na mikogo tu kututofautisha wapanda ndege na boda boda zetu.

asante mdau ulietukumbusha historia na tawasifu ya mleta mada.
 
Duh!

Nimetoka kununua tiketi ya Fastjet muda mfupi tu ulopita...nafungua JF nakutana na huu uzi!

Alhamdulillah uzi hauhusu huduma yao [FastJet] bali uzembe wa mwanzisha mada.

La sivyo ningeanzisha zogo 🤛
 
angalau umeleta chakula ya akili. humu kuna kahawa, tangazo la biashara, majivuno kwa wenye 'expensive house, nice car' na mikogo tu kututofautisha wapanda ndege na boda boda zetu.

asante mdau ulietukumbusha historia na tawasifu ya mleta mada.
Hhhhhh!!! pamoja mkuu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom