Hii email ya mawasiliano ya ikulu imekaaje - This can only happen in TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii email ya mawasiliano ya ikulu imekaaje - This can only happen in TZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kaburunye, Jan 20, 2011.

 1. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakuu:

  Letter head ya mawasiliano ya ikulu inaonyesha kuwa email yao wanayotumia kwa ajili ya mawasiliano ni ya yahoo (E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com). Jamani hivi hii imekaa sawa kweli. Mi siyo mtalaamu wa IT lakini nilitegemea serikali haiwezi kutumia email kama ya watu wa mtaani. Kama tu makampuni makini hayawezi kutumia yahoo, hotmail and the likes kwa official communications inakuwaje serikali yetu inachukulia jambo la mawasiliano ya ikulu kirahisi hivyo. Halafu eti wanashangaa inakuwaje siri zao zinavuja. I think it is very easy to hack yahoo emails.
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hivi Tanzania hakuna hackers? hebu wai-hack wawape funzo kwa vitendo
   
 3. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,675
  Likes Received: 21,903
  Trophy Points: 280
  Nchi hii aahh! kulikuwa na miaka mitano ya maajabu na sasa inakuja miaka mitano mingine ya mahajabu. Hakuna umakini wowote katika mambo ya umma ila ktk maslahi
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Sikomenti nimechoka
   
 5. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Is that for real ???? mhhh you must be kiddin' !!! kama ni hivyo kweli TZ ni shamba la bibi - unavuna utakavyo!!!
   
 6. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,228
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndo tunaiita kurugenzi ya mawasiliano- ikulu!
  Si tu wavivu wa kufikria bali they r not proffesional(weledi)
  the mode of their selection is just peaking those whom they share ulaji, damu n wenye kushiriki rafu za kiujanja ujanja wa mujini(RUSHWA)
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  tanzania tanzania,nakupenda kwa moyo wote.
   
 8. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
 9. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,809
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  wapo Mkuu ila Hackers are for solving problems and build things and they believe in freedom and voluntary mutual help, but there is another group of people who loudly call themselves hackers, but aren't. these are people(mainly adolescent males) who get a kick out of breaking into computers and phreaking the phone system, huwa tunawaita CRACKERS. Tofauti ni HACKERS build things while CRACKERS break them


  to follow the path; look to the master, follow the master, walk with the master, see through the master, become the master ; Modern Zen poem
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kufuatia sheria za EPOCA kwa sasa mawasiliano yote ya umma yanayohusu Barua pepe lazima yatumia Anuani za SERIKALI YA TANZANIA inayoishia na DOT TZ soma vizuri mabadiliko ya EPOCA utaelewa vizuri
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mimi mwenyewe situmii yahoo watakwambia wanabana matumizi lol!!!!!!!!!
   
 12. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo unamwambia Salva asome "EPOCA" au anayeuliza ikulu@yahoo?
   
 13. T

  The Informer Senior Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Someni hii story ya THISDAY ya tangu 2009 kuhusu matumizi ya private email addresses kwenye serikali ya Kikwete


   
 14. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  zamani nilikuwa nadhani kuwa mtu aliyepanda gari nzuri (VX), suti nzuri, akiishi kwenye nyumba nzuri, ofisi nzuri, n.k alikuwa pia na akili nzuri pia! Nilikuja kuondokewa na hiyo imani baada ya marehemu Ditopile kufanya kitu kimoja cha kijinga sana. Sasa hii ya email address inaonesha kabisa na kutoa picha ya upeo na fikra za watu wanaotutawala! Nadhani hata ingekuwa 'alternative' email kuna jinsi ya kufanya set-up lakini ni aibu nyingine kuudisplay kwenye (tena) taarifa ya kushutumu gazeti iliyotolewa kwa umma
   
 15. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii ndiyo hali halisi ya nchi yetu. Watu wanaona sifa kuwa na email yenye yahoo au hotmail au gmail. Ukizungumzia serikali ya Tanzania unazungumzia .go.tz
   
 16. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  Hiyo ndiyo intelligencia ya TZ. So disgusting aaarh!
   
 17. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani hiyo serikali we umeionaje,,,,si imekaa kimtaani taani tu, wamejazani wahuni, wezi, waongo, wadhulumati na majambazi,,,,,,,,,
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kweli Tanzania ni kituko!!Imagine serikali ya nchi nyingine inatumia ya kwetu email..ikulu@yahoo.com!Itawacost vijisenti vingapi kua na email inayoeleweka?Hapo wamepitiliza!
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kuna email address za yahoo ambazo unapaswa kuzilipia ili kupata uduma zake, inawezekana hiyo ni mojawapo.
   
 20. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  we, yahöo ya kulipia unachagua domain uipendayo. Mfano mawasilianoikulu@ikulu.om, au press@president.com
   
Loading...