Hii elimu yetu vp?

kuringe

Member
Jan 22, 2011
19
1
jaman mimi ni mwalimu wa shule ya sekondari ,nashangazwa na huu utaratibu wa wanafunzi wa kidato cha nne kufanya mitihani ya vitendo[practical] wakati shule huska hazina maabara .kinachofanyika ni kwamba walimu wa masomo ya sayansi wanawafanyisha wanafunzi practical miezi ya mwisho wakishakaribia mitihan hasa wiki za mwisho wakishapokea maagizo ya baraza kuhusu vifaa na samples za kuuanda kwa ajili ya mitihan,wasiwasi wangu ni waha wanafunzi wanaandaliwa kuwa wanasayansi ama wanasaidiwa wafaulu mitihan?kwan kwa sasa shule nyingi zinakwepa mitihani ya alternative to practical kwa madai ni migumu sana,ushauri wangu wakati wa ukaguzi hili suala la maabara liangaliwe kwa upana wake ili shule zinazofanya mitihan ya vitendo ziruhusiwe kwa kuwa zmekamilika kimiundo mbinu na sio vingnevyo.wakati wa mitihan ya vtendo wanafunz wanahangaika, nafasi ni ndogo ,vifaa ni vichache,uelewa ni mdogo ambao hupelekea hatar nyingi.
 
Unalalamika nini wakati wengine tulifanya mtihani wa Chemistry, Physics na Biology kwa mtindo wa alternative to practical na tukachana pepa?
 
hoja sio kuchana pepa. hoja hapa ni uwezo wa mhusika kufanya hayo mambo kwa vitendo baada ya mitihani?
 
Back
Top Bottom